Ukweli wa mambo kubali kuwa huijui CCM haswa. Naombea kwa mungu JPM afanikiwe na akifanikiwa upinzani utafutika wenyewe Tanzania. Naona dhamira yake safi ila waliomo ndiyo shida wanaishi kwa kuhujumu chama nikuhakikishie kuwa nimefurahi kumpata SG mpya ambaye mikono yake si michafu.Ndugu hii ni CCM mpya, CCM.ya JPM
mnakumbuka mlisema JPM kuchaguliwa kuwa rais asingeweza kupambana na ufisadi kwa sababu ya "mfumo"?