Sababu ya CCM kuja na “Surprises” katika teuzi zake mbalimbali ni hii hapa

lukubuzo Samsis

JF-Expert Member
Nov 3, 2014
2,136
2,000
Mara nyingi tumeshuhudia CCM ikiwashangaza wengi katika teuzi zake mbalimbali, hasa pale ambapo watu ambao hawapewi kipaumbele au kufirikiwa kabisa; wanapoibuka kidedea.

Tukikumbuka mwaka 2015 katika harakati za kumtamfuta mtu ambaye angepeperusha bendera ya CCM katika mbio za Urais, wakati vyama vingi vya upinzani walikuwa hata hawajui ni nani hasa angepeperusha bendera zao; CCM ilikuwa na watia nia zaidi ya 40. Hata hivyo Lowassa na Membe walipewa nafasi kubwa sana kiasi kwamba hata wale tunaowaita “Political Analysts” walituelekeza mawazo na fikra zetu kwa watu hao wawili. Katika hali iliyowashangaza wengi John Pombe Magufuli aliibuka kidedea na hatimaye akachaguliwa kuwa Raisi wa JMT.

Tumeshuhudia pia katika uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM hapo jana tarehe 29/05/2018. Kuna majina mengi sana yalitajwa na wachambuzi kwa kuyatolea sababu kibao, lakini Bashiru Ali Kakurwa akaibuka kidedea na kuwashangaza wengi tena.

Sababu kubwa ni kuwa CCM ina “Hazina Kubwa ya Wanachama” wenye uadilifu na sifa za kuwa viongozi. Mbali na mambo mengine, CCM pia hujikita katika kuwaandaa wanachama wake kuwa na uwezo wa kukiongoza chama hicho pale itakapobidi. Kwa hali hiyo, CCM imeweza kuja na sura tofauti kila kukicha, na pale wananchi wanapokosa imani na sura kadhaa basi CCM huleta sura mpya na hivyo kuwajengea wananchi imani upya.

Ni wakati muafaka sasa kwa upinzani kuiga mfano huu mzuri wa CCM na kuwa na mpango mkakati wa kuwaandaa viongozi. Tabia ya kuwa na “For life leaders” au kupatikana kwa viongozi based on undugu, urafiki na rushwa haitawafikisha mbali. Ni vema sasa tukashuhudia sura mpya katika chaguzi zenu zijazo kama kweli mnataka kudumu katika uwanda huu wa siasa.
Karib Dr BAK.
IMG-20180530-WA0002.jpg
 
jnhiggins

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
1,622

Kuwa mkweli unapoandika maana wengi walihisi toka mwanxo kuwa Bashiru angeweza pewa ukatibu mkuu
 
Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
17,551

Umeandika meeeengii. Lakini ukweli ni kuwa:CCM ni comedians. Hutafuta kila namna ya kuuchekesha umma bila tija. Ukibisha shauri yako.
 
niah

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
6,657
2,000
Mara nyingi tumeshuhudia CCM ikiwashangaza wengi katika teuzi zake mbalimbali, hasa pale ambapo watu ambao hawapewi kipaumbele au kufirikiwa kabisa; wanapoibuka kidedea.

Tukikumbuka mwaka 2015 katika harakati za kumtamfuta mtu ambaye angepeperusha bendera ya CCM katika mbio za Urais, wakati vyama vingi vya upinzani walikuwa hata hawajui ni nani hasa angepeperusha bendera zao; CCM ilikuwa na watia nia zaidi ya 40. Hata hivyo Lowassa na Membe walipewa nafasi kubwa sana kiasi kwamba hata wale tunaowaita

Political Analysts” walituelekeza mawazo na fikra zetu kwa watu hao wawili. Katika hali iliyowashangaza wengi John Pombe Magufuli aliibuka kidedea na hatimaye akachaguliwa kuwa Raisi wa JMT.

Tumeshuhudia pia katika uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM hapo jana tarehe 29/05/2018. Kuna majina mengi sana yalitajwa na wachambuzi kwa kuyatolea sababu kibao, lakini Bashiru Ali Kakurwa akaibuka kidedea na kuwashangaza wengi tena.

Sababu kubwa ni kuwa CCM ina “Hazina Kubwa ya Wanachama” wenye uadilifu na sifa za kuwa viongozi. Mbali na mambo mengine, CCM pia hujikita katika kuwaandaa wanachama wake kuwa na uwezo wa kukiongoza chama hicho pale itakapobidi. Kwa hali hiyo, CCM imeweza kuja na sura tofauti kila kukicha, na pale wananchi wanapokosa imani na sura kadhaa basi CCM huleta sura mpya na hivyo kuwajengea wananchi imani upya.

Ni wakati muafaka sasa kwa upinzani kuiga mfano huu mzuri wa CCM na kuwa na mpango mkakati wa kuwaandaa viongozi. Tabia ya kuwa na “For life leaders” au kupatikana kwa viongozi based on undugu, urafiki na rushwa haitawafikisha mbali. Ni vema sasa tukashuhudia sura mpya katika chaguzi zenu zijazo kama kweli mnataka kudumu katika uwanda huu wa siasa.
Linganisha umri wa CCM na ule wa upinzani. Kumbuka wapinzani wengi walikuwa CCM kwa mujibu wa sheria kama ilivyokuwa JKT. Ili uende Chuo kikuu ilibidi uwe na kadi ya Tanu baadaye CCM na barua toka kwa mwenyekiti wako wa tawi la chama. Je nani angeacha kujiunga?
Je, Upinzani una nafasi gani ya kuweza kuhamasisha kupata viongozi safi? Mikutano haitakiwi, vikao ni balaa sasa unafikiri kuna upinzani au ni kiini macho ili nchi ipate misaada kwa mgongo wa good governess? Tusidanganyane.
 
JINOME

JF-Expert Member
May 29, 2017
958
1,000

Chadema vichwani mko watupu sana, Viongozi safi wanapatikana kwenye mikutano ya hadharara?
 
MAPARA ZNZ

JF-Expert Member
Jul 1, 2016
272
225
Mara nyingi tumeshuhudia CCM ikiwashangaza wengi katika teuzi zake mbalimbali, hasa pale ambapo watu ambao hawapewi kipaumbele au kufirikiwa kabisa; wanapoibuka kidedea.

Tukikumbuka mwaka 2015 katika harakati za kumtamfuta mtu ambaye angepeperusha bendera ya CCM katika mbio za Urais, wakati vyama vingi vya upinzani walikuwa hata hawajui ni nani hasa angepeperusha bendera zao; CCM ilikuwa na watia nia zaidi ya 40. Hata hivyo Lowassa na Membe walipewa nafasi kubwa sana kiasi kwamba hata wale tunaowaita “Political Analysts” walituelekeza mawazo na fikra zetu kwa watu hao wawili. Katika hali iliyowashangaza wengi John Pombe Magufuli aliibuka kidedea na hatimaye akachaguliwa kuwa Raisi wa JMT.

Tumeshuhudia pia katika uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM hapo jana tarehe 29/05/2018. Kuna majina mengi sana yalitajwa na wachambuzi kwa kuyatolea sababu kibao, lakini Bashiru Ali Kakurwa akaibuka kidedea na kuwashangaza wengi tena.

Sababu kubwa ni kuwa CCM ina “Hazina Kubwa ya Wanachama” wenye uadilifu na sifa za kuwa viongozi. Mbali na mambo mengine, CCM pia hujikita katika kuwaandaa wanachama wake kuwa na uwezo wa kukiongoza chama hicho pale itakapobidi. Kwa hali hiyo, CCM imeweza kuja na sura tofauti kila kukicha, na pale wananchi wanapokosa imani na sura kadhaa basi CCM huleta sura mpya na hivyo kuwajengea wananchi imani upya.

Ni wakati muafaka sasa kwa upinzani kuiga mfano huu mzuri wa CCM na kuwa na mpango mkakati wa kuwaandaa viongozi. Tabia ya kuwa na “For life leaders” au kupatikana kwa viongozi based on undugu, urafiki na rushwa haitawafikisha mbali. Ni vema sasa tukashuhudia sura mpya katika chaguzi zenu zijazo kama kweli mnataka kudumu katika uwanda huu wa siasa.
Kama ilikua hujui ni wewe tu sisi tunaojua sarakasi xa ccm tulijua mapema kua mara hii katibu ni panya kitoto nikukumbushe tu usitegemee lolote jipya kwa teuzi hizo ccm ile ile na ina wenyewe
 
Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,000
Kama ilikua hujui ni wewe tu sisi tunaojua sarakasi xa ccm tulijua mapema kua mara hii katibu ni panya kitoto nikukumbushe tu usitegemee lolote jipya kwa teuzi hizo ccm ile ile na ina wenyewe
Lini misema kuna jipya ueuzi wa CCM? kwanza hata kama hakuna jipya?
 
niah

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
6,657
2,000
Chadema vichwani mko watupu sana, Viongozi safi wanapatikana kwenye mikutano ya hadharara?
Umesema kweli na mimi nakuunga mkono ingawa sina chama ila hujui unayeongea naye labda amekufundisha au ni ndugu yako. Ina maana mimi kama shangazi yako na mimeongea ukweli kuhusu siasa basi mtupu. Hii inaonyesha ulivyobutu na mtupu. Weka maneno kwa mtu usiyemtambua ni nani.
 
Raja Casablanca

JF-Expert Member
Dec 14, 2017
701
500
Sababu kubwa ni kuwa CCM ina “Hazina Kubwa ya Wanachama” wenye uadilifu na sifa za kuwa viongozi. Mbali na mambo mengine, CCM pia hujikita katika kuwaandaa wanachama wake kuwa na uwezo wa kukiongoza chama hicho pale itakapobidi. Kwa hali hiyo, CCM imeweza kuja na sura tofauti kila kukicha, na pale wananchi wanapokosa imani na sura kadhaa basi CCM huleta sura mpya na hivyo kuwajengea wananchi imani upya.
maneno haya yamejaa uweli mtupu, si ya kufikirika hata kidogo. Na hii inadhihirisha ukubwa wake kama chama kikuu cha siasa hapa nchini licha ya makandokando yake mengi
 
Raja Casablanca

JF-Expert Member
Dec 14, 2017
701
500
viongozi. Tabia ya kuwa na “For life leaders” au kupatikana kwa viongozi based on undugu, urafiki na rushwa haitawafikisha mbali. Ni vema sasa tukashuhudia sura mpya katika chaguzi zenu zijazo kama kweli mnataka kudumu katika uwanda huu wa siasa.
statement hii imetulia sana, natamani viongozi wa upinzani na wanachama wao waone andiko hili
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom