Sababu ya 1000,800,562 ya kumchagua madame B awe miss chit chat 2012

Afu Asprin unajua kama jana pale niliondoka huku nimeishikilia roho yangu ndani ya tight???
Almanusura nigeuke Ruttashobolwa maana kwangu nilipaona mbali huku nikidhani mbele yangu kuna milima na mabonde.
Bia nyingine nimeziacha kaunta kama 9 hivi manake hali ilikuwa mbaya.
Afu wewe na Paloma si mliishia "kule kule kwa jana" manake ule uondokaji mi sikuuelewa, Mtambuzi naye alichemka akajidai anamuwahi mama Ngina, Mke Bongoooooooooo........

Afu me nahisi yule Baba V aliyedondoka pale alikuja kuroga Pub yetu,
Ashindwe na Alegeeee....!!!!!!!!!!

Umeona lakini hizo tuhuma za ODM Asprin dhidi yangu...?
Bora umeweka mambo hadharani kwmaba nilikimblia kwa Mama Ngina maana najua Asprin anagekinukisha humu...
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahah! Nimecheka kidogo nizimie. Pombe mbaya sana. Sasa Madame B yale mabiya ya jana ndo umejisahau namna hii? Hebu rudi kalog off ID ya AmKATRINA uje kama Madame B bana!

Unapoamua kuwa muongo yakupasa uwe na kumbukumbu sana asee.
Hahahahahaaa
Asprin hata mi nimecheka sana aiseee lol
Kajisahau halafu akaanza kuanguka tu dah kweli hapa noma
 
Last edited by a moderator:
Hehehehe! Madame B Umenikumbusha ile n'tu asee. Yule jamaa alidondoka kwa ungo au? Manake alifikia kichwa lakini biya haikumwagika
Si tulienda kwa Mbon Safo Kleme na baada ya hapo netweki ilikatika. Paloma n'chawi asee.... Kwa hiyo Mtambuzi aliondoka na akili zake siyo, Damn Malta Ginesi!

Unajua nilijashtuka kama vile naona double double, kumbe muda ule nimemsindikiza Madame B White House, wewe ulininyunyizia ile Brandy ya GOVINDER KUMAR, na ili kunifanya nisi feel ladha, ukanidondoshea barafu kadhaa mu gilasi...
Wewe Mzee ni Noumer aisee, almanusura nikinukishe kwa Mama Ngina, lakini hata hivyo sikunusurika...... Chezeiya Mama Ngina weye.....LOL
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaa
Asprin hata mi nimecheka sana aiseee lol
Kajisahau halafu akaanza kuanguka tu dah kweli hapa noma

Aibu mkuu Erickb52 , yaani katiririka balaa nahisi kastuka baada ya Chimbuvu kuuliza wewe nani unasema watoto wanacheza tumboni!?? mwanamama kucheki ndo kagundua kuwa ameingilia id nyingine, kaanza kudelete kwa kasi ya umeme
 
Last edited by a moderator:
Yan Baba V nimecheka sana aisee dah
Kweli ukiwa muongo usiwe msahaulifu coz utaumbuka.
Madame B umenipa raha leo yan niko mwenyewe hapa nacheka km zimenituka lol
Kipipi njoo mpenzi ucheke kidogo
Erickb52 jamani unajua jana nilikesha mahali, ila nahsi kuna mtu nyuma ya Kiibodi yangu si mimi katu.
BTW Umepona jamani!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Aibu mkuu Erickb52 , yaani katiririka balaa nahisi kastuka baada ya Chimbuvu kuuliza wewe nani unasema watoto wanacheza tumboni!?? mwanamama kucheki ndo kagundua kuwa ameingilia id nyingine, kaanza kudelete kwa kasi ya umeme

jamani sio mimi huyo, we Pombekali mlivyonishikia bango mtasema nimeua mtu.
Kuna dada mmoja hapa aliazima Pc Yangu.
 
Last edited by a moderator:
Unajua nilijashtuka kama vile naona double double, kumbe muda ule nimemsindikiza Madame B White House, wewe ulininyunyizia ile Brandy ya GOVINDER KUMAR, na ili kunifanya nisi feel ladha, ukanidondoshea barafu kadhaa mu gilasi...
Wewe Mzee ni Noumer aisee, almanusura nikinukishe kwa Mama Ngina, lakini hata hivyo sikunusurika...... Chezeiya Mama Ngina weye.....LOL
Mtambuzi me jana nilichemka, maana kila nikipeleka Bia mdomoni naona inatokea sehemu kusiko, nikaona ......mwee........ isiwe tabu, ila hapa nataka kuoga ili nikalianzishe tena.
Afu na wewe nina kesi nawe, ndo nini jina kunifanyia vile?????
Tuliongea nini nawe ukafanya nini??????
we jishaue tu na siku ingine nitakuwekea naniliiii........ kwenye bia yako.
 
Last edited by a moderator:
Aibu mkuu Erickb52 , yaani katiririka balaa nahisi kastuka baada ya Chimbuvu kuuliza wewe nani unasema watoto wanacheza tumboni!?? mwanamama kucheki ndo kagundua kuwa ameingilia id nyingine, kaanza kudelete kwa kasi ya umeme

Kiukweli Pombekali kwa hapa nimecheka dah
Mtiririko ulikuwa balaa tena bora tuko wachache maana angevunja mbavu za watu lol
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi me jana nilichemka, maana kila nikipeleka Bia mdomoni naona inatokea sehemu kusiko, nikaona ......mwee........ isiwe tabu, ila hapa nataka kuoga ili nikalianzishe tena.
Afu na wewe nina kesi nawe, ndo nini jina kunifanyia vile?????
Tuliongea nini nawe ukafanya nini??????
we jishaue tu na siku ingine nitakuwekea naniliiii........ kwenye bia yako.

Hahaha mi nliona miguu tuuuu baaasi!
 
Mh, mbona unaniweka roho juu, kulikoni?
Nitakuwa nakunywa togwa nikiwa hapo maana naona wewe na Asprin mnataka kuninywesha Kharamu....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom