Sababu Tisa (9) Za Kiafya Kwanini Unatakiwa Kutumia Zabibu Kila Wakati

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279



Kwa mujibu wa tafiti za kiafya zinaonyesha, ipo faida kubwa sana kwa mtu yeyote anayetumia zabibu katika upande wa afya yake.

Inaonyesha moja kwa moja, zabibu kutokana na wingi wa madini zilizonayo ndani yake, zina uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali kama zikitumiwa kwa uhakika. katika makala haya tumekuwekea dondoo za kukusaidia kukuonyesha baadhi ya magonjwa yanaweza kutibiwa au kuepukwa hasa kutokana na matumizi ya zabibu.

1. Zabibu inatibu pumu (Asthma)
2. Zabibu inaimarisha mifupa.
3. Zabibu inazuia magonjwa mengi ya moyo.
4. Zabibu inapunguza unene kwa sehemu.
5. Zabibu inapunguza kisukari.
6. Zabibu ni kinga ya magonjwa ya meno.
7. Zabibu ni kinga kwa kansa ya matiti.
8. Zabibu inapunguza ugonjwa wa mapafu.
9. Zabibu inapunguza tatizo la kushindwa kuona mbali.



muungwana blog
 
HAZIFAI KITU....AS LONG AS HAZIONGEZI NGUVU ZA KIUME HIYO NI TAKATAKA TUPA KULEEEE. ILI UUZE BIDHAA YAKO HASA DSM NA MIJINI INABIDI IWE INAONGEZA NGUVU ZA KIUME BHAAASSSSI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom