Elections 2010 Sababu tatu singempigia kura Dk Slaa / CHADEMA

Mlenge

R I P
Oct 31, 2006
2,125
2,291
1. Dr. Slaa na CHADEMA wanaunga mkono ushiriki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye EAC; ushiriki ambao ni kinyume na katiba.
2. Dr. Slaa na CHADEMA wanaunga mkono ushiriki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye EAC; ushiriki ambao ni kinyume na katiba.
3. Dr. Slaa na CHADEMA wanaunga mkono ushiriki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye EAC; ushiriki ambao ni kinyume na katiba.
 
Tena hilo jina "Mlenge" mimi linanipa shida, kikwetu ni tusi kubwa. Anyway, naona nawe umekaa kufanana nalo!
 
1. Dr. Slaa na CHADEMA wanaunga mkono ushiriki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye EAC; ushiriki ambao ni kinyume na katiba.
2. Dr. Slaa na CHADEMA wanaunga mkono ushiriki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye EAC; ushiriki ambao ni kinyume na katiba.
3. Dr. Slaa na CHADEMA wanaunga mkono ushiriki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye EAC; ushiriki ambao ni kinyume na katiba.

Ndani ya siku 100 za kwanza katiba itakubali! Ni ushiriki gani? Mbona ulikwisha anza na sasa una karibu miaka kumi sasa East African Community - Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda, Burundi
 
kuna wakati flani ulikuwa unaomba mwenye kitabu cha baba wa taifa humu jf akupe kopi nilikona una maana sana na ukawa na mawazo chanya sana.

lakini kwa hili nimekushusha hadi gredi ya mwisho kabisa.

kuna neno nilitaka kuliandika hapa lakini ngoja niliseme kimoyo moyo tu..... mpuuzi sana!!!!
 
Hi wanajamii.
Ni kitambo kweli tangu nijimwage jamvini hope watu wazima kabisa, anyway mtoa maada labda ana ufafanuzi juu ya alichoandika hapo juu au labda tujaribu kusoma kinyumenyume tutaelewa anyway hebu fafanua hizo sababu mzee.
 
Ndo umeamka hivyo? Kazi ipo umenikumbusha enzi zile za RTD's Pwagu na Pwaguzi!
 
1. Dr. Slaa na CHADEMA wanaunga mkono ushiriki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye EAC; ushiriki ambao ni kinyume na katiba.
2. Dr. Slaa na CHADEMA wanaunga mkono ushiriki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye EAC; ushiriki ambao ni kinyume na katiba.
3. Dr. Slaa na CHADEMA wanaunga mkono ushiriki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye EAC; ushiriki ambao ni kinyume na katiba.

nadhani kuna tatizo katika haki zako za msingi kwani wakati dunia inaenda kwenye kijiji wewe unawaza kwenda katika nchi ambayo ni sehemu kubwa sana jaribu kuwa na ufikiri mpana jambo la CHADEMA na EAC siyo Tanzania kujiunga bali ni namna ipi ya muundo husika unaohitajika kuwepo kwa muungano huo ili Tanzania iwe na equal opportunity
 
I can just say labda mods amegawa password ya huyu jamaa, this post stinks.
 
'MLENGE' hebu badilisha herufi moja wapo hapo na uweke herufi ya kwanza ya jina la spika wa bunge.
Hata haina haja ya kumlaumu.
 
1. Dr. Slaa na CHADEMA wanaunga mkono ushiriki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye EAC; ushiriki ambao ni kinyume na katiba.
2. Dr. Slaa na CHADEMA wanaunga mkono ushiriki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye EAC; ushiriki ambao ni kinyume na katiba.
3. Dr. Slaa na CHADEMA wanaunga mkono ushiriki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye EAC; ushiriki ambao ni kinyume na katiba.
Mkuu, mbona umesema sababu tatu lkn umeandika sababu moja mara tatu AU NI MIMI SIJAELEWA:confused2:
 
Mlenge, huachi tu! Wakti ule ulisema kwa nguvu zako zote kuhusiana na kujiunga na jumuiya hii! Lakini ilishindakana; sasa unategemea kweli leo CHADEMA au chama chochote kiingia kwenye medani na hoja ya kujiondoa EAC! Si watashindwa kabla ya kuanza mbio. HAYA YATAZUNGUMZIKA TU WAKATI WA KUJADILI KATIBA. Ondoka huko njoo huku, nakujua wewe ni mwanamapinduzi tena mahiri katika IT tangu ukiwa paleeeeeeee
 
Hii ni ishara tosha kuwa washabiki wa CCM wameanza kuishiwa maneno ya kummaliza Dr. Slaa. Wametunga la ndoa, wameona wabongo hatuna time nalo, leo wanamuua kuropoka tu tena kwenye jamvi la "great thinkers". Nakuomba ndugu Mlenge urudi kwenye jukwaa ambalo ni kinyume cha "great thinkers".
 
Kwa wale ambao wameamua kunishambulia binafsi badala ya kujibu hoja, inathibitisha kutumika kwa hisia kuliko tafakuri katika kufikia maamuzi... hakuna la kuwajibu. Kwa wale wenye uwezo wa kujadili hoja hata kama hawakubaliani nayo:

Njilembera: Dk. Slaa ana tofauti ipi na Kikwete -- kwenye suala la EAC? Kwa nini nimpigie kura Dk Slaa wakati na yeye 'anagwaya' kuwa na msimamo unaostahili -- kuiondoa Tanzania toka EAC?

Wiselady: hiyo ndio sababu tatu

Maluo: kwamba EAC ndio njia pekee ya kuonyesha tupo kwenye utandawazi is a nauseating argument tafuteni nyingine. Twatoka EAC, tunabaki SADC.

Mwanamayu: Exactly my point. Miaka hiyo kumi Dk Slaa ni mbunge, na CHADEMA ni chama 'cha upinzani'. Nini wamefanya kuzuia Tanzania isiwemo kwenye EAC kwa hiyo miaka yote kumi? Nini sasa tofauti ya Slaa / CHADEMA ukilinganisha na Kikwete / CCM?

Mlenge
 
Sabode: Kura ikitolewa kwa kigezo cha ushiriki wa Tanzania kwenye EAC, nini tofauti ya Dk Slaa / CHADEMA vs Kikwete / CCM?
 
Back
Top Bottom