Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
Huu ndio ushari na mtazmo wangu:
"Usipuuze vioja kwasababu sio hoja, ukasahau vioja ni hoja kwa wasiojua hoja na wasiojua vioja ni wengi kuliko wanaojua hoja."
Kwahiyo ndugu zangu tunaotafuta na kulilia mabadiliko, tusipuuze vioja vya Jerry na Polepole kwasababu vioja vyao ni hoja kwa wasiojua hoja na ambao kwa bahati mbaya ndio wengi nchi hii.
Wakati Lowassa alisema kipaumbele chake cha kwanza ni elimu,cha pili ni elimu na cha tatu ni elimu;Polepole na Jerry wao kipaumbele chao cha kwanza ni vioja,cha pili ni vioja na cha tatu pia ni vioja.
Katika Taifa ambalo elimu sio kipaumbele, hata vioja hugeuka hoja na huu ndio mtaji wa wasiotaka elimu bora kuwa kipaumbele chao.