Sababu kwanini wanawake wengi huangukia kwenye mapenzi ya waganga wa kienyeji

Labda nikwambie ki2 ki1 umesahau, mganga haoi tu iviivi anaoa ke ambae atachaguliwa na mizim/majin wake kufuatana na nyota ya mtu. Mganga akiwa mzinzi sana anaaribu uganga wake
Ni kweli lakini mganga akimpenda mwanamke ambae ni Mteja wake anaweza kuomba ridhaa ya mizimu wake au majini wake..Kitabibu ukienda kutibiwa kwa mganga wewe una kuwa mtoto wa kiroho wa majini na mizimu waliompa uganga mganga huyo .So mganga kulala na Mteja wake ni mwiko mkubwa sana.Yani ni sawa na kulala mtoto wake wa kumzaa mwenyewe .Ndio maana waganga wengi wanaovunja mwiko huu huwa uganga wao unaisha nguvu ima huwa wanatiwa ukichaa ama kuuwawa na mizimu husika
 
sababu nyingine ni MMELO...maana kila siku watakuwa wanakula kuku tu! na sio dagaa
 
Wanawake wanapenda watu aina 2 tu
1. Matapeli....hawa hupendwa na wanawake kwa sababu huwaambia maneno matamu yenye matumaini hewa. Kiujumla ukimuambia mwanamke ukweli itakua imekula kwako. Waganga na mitume aka manabii wa uongo kama mzee wa rangi wako kundi hili.
2. Watu wenye pesa. Hata uwe na kipisi cha kibabia atakuambia umembamiza ili mradi utoe zaidi.
Waganga na manabii pia kwenye kundi hili wamo kwani hawa ni wezi na pesa za kutupa wanazo kama nabii mwa......na .......ima etc
 
Hapa sizungumzii wale wanawake wanao ingiliwa kimwili na waganga kama sehemu ya tiba ..

Ninazungumzia wanawake ambao kwà ridhaa yao wao wenyewe huingia katika mahusiano ya kimapenzi na waganga wa kienyeji kama ilivyokuwa kwa Nuru Nassor ( Nora ) Yule muigizaji wa Kaole aliolewaga na marehemu N'gwizukulu Jilala.

Sababu ni hizi hapa

1. Ndele Kali za mvuto: Mganga yoyote Yule wa ukweli huwa anakuwaga amejizindika na dawa kuu za aina mbili.

Ya kwanza ni KINGA YA MGANGA. Hii ni kinga yake mwenyewe dhidi ya maadui wake wa kiroho kama vile wachawi na waganga wenzake ( waganga huwa wanarogana sana wenyewe ili kupimana nguvu na mganga anapo mjaribu mganga mwenzake huwa anamrushia mascud mazito ..kama mjaribiwa ni mwepesi mwepesi basi atakwenda na maji )

Wakati mwingine mganga anaweza kujaribiwa na mteja ambae NAE pia ni mtundu mtundu.Mteja anamwambia mganga ebana njoo nyumbani kwangu unigue kumbe kamtegeshea jini mlangoni sasa kama mganga ni mwepesi basi atakwenda na maji. Mfano ipo mingi sana katika hilo ila kwa ufupi ili kukabiliana na changamoto hizo ni lazima mganga awe na kinga nzito .Kinga ya mganga.

Dawa nyingine ambayo mganga yoyote Yule wa ukweli huwa ni lazima ajizindike nayo ni Ndele Ya Mvuto Wa Kupendwa sana na Watu. Waganga huwa wanajichajia au wanachanjiwa ndele Kali sana za mvuto wa Kupendwa na watu.

Mbali na kuchanjiwa ndele za Kupendwa na watu waganga kila siki huoga madawa makali ya kuondoa nuksi wanazo kutana nazo katika kazi zao za uganga. Madawa hayo Mara nyingi huwa yanakuwaga madawa ya kuongeza mvuto wa Kupendwa.
Mbali na hilo waganga huwa wanajipaka uchawi unao kaliwa na majini wazito wazito wa mvuto.

Sasa basi mwanamke anapokwenda kwa mganga automatically anajikuta anavutiwa tu na huyo mganga kwa sababu ya madawa makali ya mvuto ya mganga huyo.

Kinacho fuatia baada ya hapo huwa ni mwanamke mwenyewe kuanza kujirahisisha kwa mganga huyo na ikitokea mganga na yeye kamuelewa mwanamke huyo basi habari inakuwa nyingine.

SABABU YA PILI NI NGUVU ZA KIUME: Waganga hula na kutumia mitishamba karibu katika maisha yao ya kila siku.Wengi wao wamezaliwa katika familia za uganga basi maisha ya kutumia madawa hayo ya asili wameyaanza tangu utotoni.

Linapokuja suala la nguvu za kiume sio tatizo kwa waganga kwa sababu hutumia madawa makali ya kuongeza nguvu karibu katika maisha yao ya kila siku. Wanapokutana kimwili na wanawake hao suala la kuwaridhisha kingono linakuwa guaranteed. Na hakuna kitu anachokitaka mwanamke kama kukojozwa .

SABABU YA TATU NI PESA : Waganga wengi wa ukweli huwa na ukwasi wa hali ya juu. Kama hujaelewa Nina sema hivi waganga wengi ni mamilionea na wana Mali nyingi sana.

Pesa zao wanazipata kutoka kwa wateja wao na wengi huwa wanapewa mali na wateja wao baada ya wateja kufanikiwa.

Suala la mganga kununuliwa nyumba, gari, kupewa viwanja na wateja ambao wamefanikiwa kupitia msaada wao ni jambo la kawaida sana.

Mwanamke anapo ona utajiri wa mganga inakuwa rahisi sana kwake kuingia katika ndoa na mganga huyo kwa sababu pesa IPO.

SABABU YA NNE :WAGANGA SIO WABAHIRI KWA WANAWAKE

Kutokana na pesa nyingi wanazo zipata waganga huwa si wabahiri kwa wanawake wao.Mganga kumnunulia mke wake nyumba gari nk au kujenga ukweni ni suala dogo Sana.
Ukitaka kujua waganga sio mabahiri waulize watu wa magengeni madukani na kwenye masuper markets .

Mganga akienda dukani kwa mangi atachukua mchele kilo mia, sukari kilo sabini nakadhalika.

Akienda gengeni au sokoni atanunua Nazi thelathini maembe hamsini etc.
Akienda super market au kwenye duka la nguo atanunua suruali thelathini mashati 29 viatu pea kumi etc.

SABABU YA TANO : ULINZI WA KIROHO.
Baadhi ya wanawake wanaamini akiolewa na mganga basi anakuwa spiritually protected kwa sababu kaolewa na mganga.

SABABU YA SITA; CONNECTION
Waganga wa ukweli wana connection na viongozi wakubwa wfanyabiashara na watu walio katika nafasi nzuri nzuri.

Mwanamke kaenda Mara ya kwanza kilingeni Kwa mganga anakutana na mashangingi kama ishirini hivi yame park watu wa maana wanasubiri huduma.

Akitazama kulia anaona wahindi kushoto anakutana na waarabu .Mtoto anasema yap hapa ndo penyewe.

Mganga akimtaka mwanamke huyu itakuwa ngumu sana kwake kukataa kwa sababu anajua nikiwa ba huyu jamaa nitakuwa connected na watu wake .Nikizaa NAE watoto unajua watoto wangu watasoma vizuri etc .

Hapa kwenye connection familia nyingi zinazo saidiwa na waganga huwa zinajenga undugu na familia ya mganga huyo.

SULIHISHO MKE WAKO ASIWE EXPOSED KWA MGANGA : TREAT HER WELLOO BEFORE THE WITCHDOCTORS CAN DO IT FOR.
USIPO MTREAT VIZURI ANAWEZA KUSHAWISHIKA KWENDA KWA MGANGA NA AKIENDA KWA MGANGA MGANGA ANAWEZA KUMPENDA NA MGANGA AKIMPENDA MKEO MKEO HAWEZI KUCHOMOA.

HAO WATOTO WATATU ULIO MZALISHA MKEO SIO TATIZO KWA MGANGA KWA SABABU ANALISHA MISUKULE MIA NNE KWA SIKU HAWEZI SHINDWA LISHA WATOTO WATATU NA MKEO.

HE WILL FAK HER AND GIVE HER FAST FOOD
Aisee wee kamanda kweli.
 
Ni kweli kabisa
 
Back
Top Bottom