Sababu: Kwa nini polisi wenye sare hawaonekani mjini Arusha

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Kuna taarifa kutoka kwa polisi wenyewe kwamba wanaona aibu kuonekana kwa kuhofia macho ya watu au hata kuzomewa. Ambao hawawezi kukwepa ni traffic polisi na wale wanaolinda benki na majengo ya wakubwa.Taarifa zinadai kwamba polisi wengi wa arusha siku hizi wanakwenda kazini wakiwa na mabegi madogo au mifuko ya rambo. Kwenye begi kunakua na sare. Wakifika kituoni wanavaa hiyo sare, kama ambavyo manesi wanafanya siku hizi. wakitoka kituoni wanavaa kiraia.
 
It's could make news if proven.

Thugs and criminals in uniformly order a.k.a. Tz police
 
Back
Top Bottom