ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,338
Hizi picha zimentolea upako wangu kabisa...
Dah kama Huyo wa kukaa Namtamani Sana
Hizi picha zimentolea upako wangu kabisa...
Mie nimeingiaje hapo kwamfano?
usinambie na barua yote ile na mchozi yakutosha ulimtolea nje mkaka wa watu!!!?
Hahahaha!!! Mkuu Dhahabu Haishuki Thamani Hata uipake Kinyesi
Avemaria ni nini hicho unauliza?
Jamani mie ni mrefu sana sasa nikivaa nguo ndefu ndio kabisaa nakuwa kama jini, hivyo kuepuka ujini huu navaa nguo fupi.
Na wanaume mnavyovaaga kata k,
mnamaanisha huko mbele kuna mapungufu . . . so mnapalegeza nyuma ili kucompasate???
Jamani mie ni mrefu sana sasa nikivaa nguo ndefu ndio kabisaa nakuwa kama jini, hivyo kuepuka ujini huu navaa nguo fupi.