Sababu kuu za CCM kuanguka vibaya na UKAWA kushinda uchaguzi Oktoba 25

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,846
16,740
Mr. President is BACK...!!! ����������


Habari njema kwa UKAWA... na kilio kwa CCM uchaguzi, 25 Oct. 2015, nisiwachoshe, let's dig in...!!!

SABABU KUU ZA CCM kuanguka...!!��

1: KATIBA mpya ya WARIOBA.... huu ndio msumari mkuu, na wananchi WANA HASIRA NA HILI.. na CCM walichakachua, na wako kimya...hata Ilani yao hawasemi hilo

2: UFISADI.... hadi sasa CCM hawana SERA... wanaongelea Lowassa, Lowassa, Lowassa, Lowassa... hawana policies kabisa...Watu wanahoji na wanajua CCM ndio ina ufisadi wa kutisha, sio Lowassa, Lowassa hana kesi au kutuhumiwa sehemu yoyote na vyombo vya Dola... eg TAKUKURU, DPP, MAHAKAMA, POLICE, TUME YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA na hata KAMATI ya maadili ya CCM haijawahi mshutumu maisha yake yote akiwa CCM na Serikalini... so CCM hawana points, sasa watu wanajua mengiii kuhusu ufisadi... kuna

1: ESCROW... wizi wa wazi...

2: WACHINA wanatuibia usiku na mchana... ni CCM inawaleta... tushamalizwa.

3: EPA... wizi wa wazi..

4: WANYAMA hai kwenda na Ndege hadi Twiga... hii ni hatari kuu

5: RICHMOND... sio ya Lowassa na kaikana, na hata Obama alipelekwa Ubungo na kuipongeza... so utajua ni ya nani hapo..

6: IPTL... hili ndio ZIMWI LINALO TUMALIZA... na mnajua mmiliki wake... watu wanajua haswaaa...!!!

7: MIKATABA YA GESI NA MAFUTA.. hapa hata PAC, hawajui nn hii mikataba TAIFA linafaidika... tunaibiwa mchana
mchana tena.. hadi TPDC wenyewe hawajui kuna nn ndani... hatari sana

8: MEREMETA...

9: KIWIRA...

10: TEMBO wanuawa sana, na wahusika wanajulikana, hadi meli zake... so wananchi wanajua, WACHINA ndio wanashirikiana nae, jambazi mkuu wa swala hili... Wachina wamemaliza nchi yetu...

11: MKOPO WA BOMBA LA GESI from CHINA... Tshs. 1.6 TRILLION... yaani Dollar billion 1 kwa rate ya wakati ule wa mkopo... Hizo fedha watu wanahoji fedha hizo kama zimetumika, ZIMEFICHWA SANA SANAAA... na wanasema almost nusu tu ndio imetumika kulaza mabomba ya Gesi from Mtwara hadi Dar... Zingine ndio hivyo..refer Freeman Mbowe..

12: MABEHEWA FEKI... tshs 252 Bilioni, jamani... na Mwakyembe akiwa waziri wa Uchukuzi, hatari sana hii... billions zote zilitolewa na kulipwa kwa wakati mmoja kinyume na taratibu za manunuzi... you have to pay half kikawaida, then bidhaa au VIFAA vikisha tengenezwa na kuwa tested to standard na kuona viko to STANDARD... ndio UNALIPA NUSU YA FEDHA ZILIZOBAKIA...

13: MELI YA SAMAKI ya Magufuli...Serikali imeshindwa kesi...na sasa inadaiwa billions.. huu ni ufisadi, yaani unamkamata mwizi, kaiba samaki wetu, alafu unashindwa kesi, HAPA SBB MELI NI YA CHINA TU... so WACHINA WANATUMALIZA HADI BAHARI YETU.. WACHINA HAWAFAI...

14: NYUMBA ZA SERIKALI... yaani hapa ndio DHAMANI YA MA TRILLIONS zilipotea... bure kabisa, Magufuli ndio kahusika... BILLIONS of ASSETS incl..Prime Areas ziligawiwa hovyo na kuwapa ndugu, vimada, hapa Serikali ilipoteza ma trillions... hii ni hasara kubwa sana saanaaa...

15: LOLIONDO... ule mradi wa waarabu ni ni wizi mtu wa kuwinda wanyama, ORTELO group... nchi haifaidiki na chochote... na KINANA alihusika kuwapa waarabu wale LOLIONDO...

16: BANDARI YETU... hapa CCM na serikali yake ndio imekuwa kichaka cha kuchuma fedha, na kutoa misamaha ya kodi BILLIONS kwa wiki tu... mfano kampuni moja tu ya mtoto wa kigogo, inasamehewa Tshs. 16 billions kwa wiki moja tu... ni hatari sana...

17: MIKATABA YA MADINI... hapa tumeliwa hadi basi... we lost TRILLIONS of Tshs... na wafaidika ni CCM na vigogo wake... wananchi maeneo husika ya migodi wamekuwa vilema na maskini fukara wa kutupa...mikataba ya migodi INAFICHWA KULIKO SEHEMU ZA SIRI ZA MWANADAMU WA LEO...

18: MADAWA YA KULEVYAAAAAA... wote mnajua hata siandiki kitu hapa... yaani...������������

19: NET GROUPS solutions... yaani wee acha tu..

20: SERIKALI inadaiwa na WAKANDARASI 1.4 Trillions wizara ya Magufuli pekee... ikiwa tshs 900 bilioni ni FEDHA ZA DENI...NA Tshs 500 bilioni ni RIBA la DENI HILO... refer Sumaye... kasema hilo wazi... IMAGINE sasa...DENI KUBWA HIVYO... WIZARA YA MAGUFULI... huu ni ufisadi... jumlisha na CAG alisema WIZARA YA MAGUFULI tshs 256 Bilions hazijulikani zilipo... huyo ni CAG mpya Prof. Assad... tena kasema Waziri Magufuli ashitakiwe...!!! Imagine...����������

21: UDA jamaniiii...UDA yetuuuuuu.... UDA jamaniiiiiii...... nalia naumiaaaa... UDA mali zaidi ya tshs 12 bil... zinauzwa kwa bei ya uwizi kwa tshs 400 mil..... sasa ULIZIA NI MRADI WA NANI.... jamaniiii..... LAKE OIL lazima pia tuichukue.... mali zetu wananchi zote hizo

������HAYO ni kwa UCHACHE TU MADHAMBI na UFISADI WA CCM

....SERA za CCM sasa ktk UCHAGUZI HUU... ni hakuna kitu... sera zao tuone..

1: Lowassaaaa, Lowassaaa... Lowassaaaa, Lowassaaaaaaaa..������������ nonsense...

2: MSIFANYE MABADILIKO mtakuwa kama Libya, sijui Tunisia... what..?? hata mgombea wao hajui LIBYA na Tunisia hawakupiga kura wala MAPINDUZI YAO HAUJATOKANA NA KURA.. nashangaa mifano mfu kabisa.. wanatisha watu hovyo... ila hawatolei mifano KENYA, MALAWI, ZAMBIA ambayo ni mifano halisi na yetu...

3: NITAFUNGUA MAHAKAMA YA MAFISADI... eeeehh.. hii ndio priority ya watanzania kweli...????? ��������

4: UDINI... badala wauze sera bora, wamebaki kusema udini, huku wakijua ni uongo kabisa.. walianza na Ugonjwa, ukanda, ukabila vyote vimegonga mwamba...

5: KUWA SAMBARATISHA VIONGOZI WAKUU WAWILI WA UKAWA... Dr. Slaa na Lipumba.. mbinu hizi mbili kuu ndio ilikuwa SILAHA kuu za CCM, na zote zimeshindwa kabisa.. wananchi wamebaki na UKAWA.. na hakuna alio wafuata hao, na sasa WANANCHI WANAWAONA WASALITI WAKUU.. so mbinu hii au sera hii imefeli vibaya..

6: MGOMBEA URAIS CCM, anaongea kama mpinzani, na yeye ANATAKA MABADILIKO.. anashangaa DAWA HAKUNA, VIWANDA VIMEKUFA... ANASHANGAA UFISADI, na hata anasema KUNA MCHWA WENGI SERIKALINI sana, sasa hapo anamchongea boss wake kwa wananchi, na ANASHANGAZA... YUKO KAMA HAGOMBEI CCM vile...

7: ETI kitandani kikiingia KUNGUNI wawili utachoma kitanda au utawatafuta KUNGUNI wawili utawaua... hii sio sera jamani... this is TOO LOW....������������

8: CCM wananchi wameichoka sana, ulizia kila group la watu, kila kona ya nchi... na hata wana CCM wengii wataipigia kura UKAWA... yaani wengi bado wana matumaini sana na Lowassa , hii ndio hatari kubwa CCM kuliko yote.. na hawataki kuona hili...

9: MAKUNDI yaliyo pata shida na serikali ya CCM, yana hasira, eg WAALIMU, MADAKTARI, BODABODA, MACHINGA, MAMA NTILIE, wana MTWARA wengi hawa wana HASIRA sana na CCM...na ni pigo sana..

10: VITISHO VYA MAGUFULI... huwezi uongea jukwaani na kusema nikiingia IKULU WATANIKOMAAAA... wafanyakazi serikalini watakoma, sijui waziri atakoma, sijui wakurugenzi watanikoma, sijui nani, au MSIFANYE MABADILIKO YATATOKEA KAMA LIBYA, mara KUWAIT... hivi vitisho UNAKOSA KURA KABISAAA..... RAIS hatakiwi kuwa mtu WA KUTISHA WATU WA NCHI YAKE... hili ni KOSAAAA KUBWAAA MDOMONI NA AKILINI MWA MAGUFULI..... namuonea huruma...na HII SIO SERA KABISA..mifano mfu kabisa na vitisho kila akisema neno, UNAWATISHA WATU HIVYO... kura hutapata aiseee...!!!����������������������

11: ETI nitatoa mil 50 kila kijiji, eeeehh...!!😨😨😨 nitampa kila mwalimu Laptop... eeeehh...😨😨😨😨 ACHA UONGO... hii sio SERA... ubovu na uongo mkubwa... mabilioni ya JK yote yalipotea... HIZI sio sera...!!! MWISHOWE mtatuambia MTALETA KIWANDA CHA KUTENGENEZA FEDHA KILA WILAYA...!!! 😨😨😨😨

CCM ikifuatilia kwa makini, hawana JIPYA au strategies zozote tofauti... kabisa kabisa... sera zao ni zile zile...hata wimbo wao unadhihirisha hayo, kuwa CCM ni ILEEEE ILEEEE... ooh.. CCM ni ILEEE ILEEEEE... CCM ni JANGA LA TAIFA...period...!!!



✌✌✌������������ LOOK sasa wenzao ukawa...!!! wanafanya mambo..!!!


SERA ZA UKAWA muone sasa...kwnn CCM inakufa.. hapa chini...CHEKI UKAWA..... very strategic, to the point...!!!

1: KATIBA MPYA ya WARIOBA.... na sitaki kwenda ndani zaidi, maana HII KATIBA ndio KILA KITU nchii hii kuinuka na kutembea kiuchumi, kisiasa na kijamii,

Hii katiba ITAFUTA WAKUU WA WILAYA
wote, na SERIKALI ITA SAVE TRILLIONS ya TSHS kwa mwaka.... WAKUU WA WILAYA HAWANA KAZI... ni mzigo sana kwa TAIFA hapa UKAWA watapata FEDHA TRILLIONS kwa mwaka mmoja tu... yale magari ya wakuu wa wilaya, nyumba, mishahara, allowances, mafuta, walinzi, madereva, offices etc etc... trilliions hizi ZINATOSHA KUTOA ELIMU BUREEEE... kufuta wakuu wa WILAYA TU hela zinazopatikana ZINATOSHA KUTOA ELIMU BURE HADI UNIVERSITY, which is roughly tshs 1. 6 trillions kwa MWAKA... kutoa ELIMU BURE HADI CHUO KIKUU...

KATIBA YA WARIOBA, someni ina kila kitu... na UFISADI utakuwa historia, hata Rais atashtakiwa akitoka madarakani... WIZARA ZITAKUWA FIXED NUMBER, mawaziri hawatakuwa wabunge.... MIKATABA YOOOTE ITAPELEKWA BUNGENI... sio SIRI TENA... SPEAKER HATAKUWA MBUNGE au kujihusisha na siasa for the last 5 years... as well MWANASHERIA MKUU hatakuwa muumini wa CHAMA fulani kwa miaka 5 iliyopita.... etc etc... na mengine mazuriii mengiiiii...

2: UKAWA watarudia MIKATABA YOOOTE YA MADINI... na kuweka wazi hata kabla ya Katiba mpya... hapa SERIKALI itapata BILLIONS maana zinaliwa na wachache..

3: UKAWA watafuta MBIO ZA MWENGE....

Mbio za Mwenge, zinapoteza more than tshs 600 billions, na zaidiii na zaidiiii... huku mbio hizo hazina faida kwa TAIFA... ukawa wataupeleka MWENGE WA UHURU KTK MAKUMBUSHO YA TAIFA... inatosha... MBIO HIZI zinatia hasara kubwaaa serikali kila mwaka... tshs 600 bil and above...!!! ni HATARI...!!!

4: KODI KUDHIBITIWA BANDARINI, etc... mashine za EFD kupewa kwa bei ndogo sana sanaaa sawa na bure, ili KUPATA KODI HALALI, kwani WAFANYA BIASHARA UGOMVI WAO na SERIKALI HIVI sasa sio kukataa KULIPA KODI... ILA WANALALAMIKIA BEI KUBWA SANAAA ZA EFD, ilianza 1.2 milioni, ikaja wakashusha to laki 8, sasa sijui laki 6... hii ni BIASHARA YA MTU BINAFSI....SERIKALI imekosea sana kuuza hizi mashine ndogo tu za kulipia KODI kwa bei GHALIIII sanaaaa... na huo ndio UGOMVI WAO NA SERIKALI... so UKAWA WATAPATA MAPATO makubwa kwa kutoa mashine hizo sawa na bureee.... point hapa ni KODI... sio KUUZA MASHINE HIZO ZA EFD...of which ni mradi wa MAFISADI wachache...

5: MAKAMPUNI YA SIMU.....

hapa kuna trillions za kodi hazilipwi, pale TCRA, kuna mtambo maalum, ambao ni wa kisasa, unaweza kujua MAPATO YOOTE YA KAMPUNI ZA SIMU, ila bado hawautumii kujua kodi, kazi yao kufuatilia simu zetu, calls, sms, etc hiyo SIO PRIMARY TARGET.... TARGET ya MTAMBO ULE NI KODIIIIIIIIIIIIIIIIIIII.... so ule MTAMBO UKAWA wakiingia madarakani of which i believe so, WATAPATA MORE THAN tshs 4.1 trilllions za KODI kwa mwaka....... kupitia MAKAMPUNI YA SIMU TU... hapo hela za kujenga viwanda TAYARI...

6: ELIMU BURE HADI CHUO KIKUU... hili linawezekana, kama nilivyoainisha hapo juu, hela zitatoka wapi...!!! Nadhani mshajua...

7: KUBANA MATUMIZI ya SERIKALI... hapa wata save trillions... SBB UKAWA wameweka wazi HUTAONA LAND CRUISER VX V8 tena za serikali... ambazo ni MZIGO MKUBWA KWA WANANCHI... BADALA YAKE WATANUNUA LAND CRUISER PRADO za KISASA kwa bei ya 60 Milioni each ya ENGINE YA CC 3000 TU, that is maximum, kwa mijini watu wa SERIKALI NI RAV 4 TU.... uko mjini UNATEMBEA NA VX V8 YA NN..? sasa ni WAKATI WA KUFUTA MAGARI YA MIL 300 ya CC 4.5, NA kununua PRADO za tshs, 60 MIL, za KISASA za CC 3000 au 2700... hapa UKAWA wata save again TRILLIONS KWA MWAKA.... TRILIONS OF TRILLIONS zinapotea kwenye hizi gari za KIFAHARI AJABU... DUNIA INATUSHANGAAA..

8: HOSPITALI NA MADAWA Ya uhakika... ukiweza save hizo fedha hapo juu, HUDUMA ZA AFYA ZITAKUWA ZA UHAKIKA kabisaaa

9: VIWANDA.... kwa UKAWA, ukiniambia WATAJENGA VIWANDA VYA SAMAKI, NYAMA, NGOZI, ninakubali, sbb NA UHAKIKA HELA ZINATOKA WAPI.... kama nilivyosema hapo juu... hapo wata save trillions za fedha, na kuweza anzisha VIWANDA... kwa uhakika kabisaaa... CCM ikisema VIWANDA nakataaa, sbb hawajui fedha wanatoa wapi, washashindwa, na hakuna na wameua vyote, so CCM hawana mikakati ya kweli ya kujenga viwanda labda KUUA hapo nakubali...

10: UKAWA, wana bahati ya KUMPATA LOWASSA.... Lowassa ni pigoooo kubwaaaa sanaaaa kwa CCM.... yaani kaongeza nguvu ya UKAWA BY 50%... sasa WAKAJA SUMAYE, na wengine wa CCM... hii sio SERA najua, ILA NI SABABU KUU SANA YA UKAWA KUSHINDA...

KILA KONA NI LOWASSAAA... Lowassaaaaa... Lowassaaaaa... Lowasssaaa... najua ni VIONGOZI wa JUU wa CCM watakataa hili, ila ukweli WANA CCM mamilioni bado wana IMANI na Lowassa sana sanaa, na MIKUTANO yake INAHUDHURIWA NA WANA CCM mamilioni, na wana IMANI nae, achia mbali wana UKAWA, na CCM inavyozidi MCHAFUA Lowassa, NDIO ANAZIDI KUNG'AAAAAAA sbb hawajibu hovyo, au kujibizana nao, yeye Lowassa mjanja sanaaaaa, anakaa kimya, ANAUZA SERA TU, ZA KUELEWEKA... CCM wanapiga propaganda na miziki majukwaani...CCM wanachotaka kuaminisha UONGO WANANCHI ni kuwa UFISADI NI LOWASSA, wakiongea UFISADI ni LOWASSA tu, kumbe wanajidanganya wao wenyewe, TATIZO NI HAWANA JIPYA, na wamekosa la kuwaambia wananchi, WAKATI CCM ndio MFUMO wa UFISADI.... na watu wanajua ukweli sasa, ndio TATIZO... hawadanganyiki, UONGO WAO juu ya Lowassa hauna mashiko...!!!

11: RESOURCES ZA TAIFA.... GESI, MBUGA ZA WANYAMA, UWINDAJI, MADINI Yote, SAMAKI, BANDARI, RELI, hivi tu vitadhibitiwa kwa umakini wa hali ya juu, yaani MIKATABA YOOOOOOTE ITAKUWA WIN-WIN situation... yaani minimum ya mikataba yote isiwe below 50%... au Serikali inakuwa na 51% and above.... as well UHAKIKI WA UVUNAJI MADINI AU MAPATO YA MADINI UTASUMAMIWA UPYA.... tunadanganywa sana ktk mapato ya MADINI NA MAKAMPUNI YA SIMU.... TUNAPOTEZA TRILLIONS hapa....


So, hivyo ni kwa UCHACHE TU... nime balance points 10 kwa UKAWA, na 10 kwa CCM, na kukupa picha halisi KWANN UKAWA WATASHINDA SANA SANAAA


FOR 54 yrs CCM imeshindwa kabisa KUTULETEA mabadiliko, na hata sasa SERA ZAO HAKUNA KITU KABISA.... so ni TIME FOR CHANGE... tumeamua..!!

Ni hoja kwa hoja... viroja mkae navyo kwenu CCM...!!!


Mr. President is BACK....!!!
����������
 
sio inakufa imeshakufa tayari, mazishi 25 oct.. viva UKAWA
Huenda wengine wasikuelewe ila kwa kuwasaidia hebu angalia hata mabango ya Dr. Magufuli, mengi yameandikwa 'Chagua Magufuli ...hapa kazi tu". Sana sana kinachoonekana ni rangi tu za njano na kijani na kama kuna neno 'ccm' basi ni madogo mno lakini mengi hayajaandikwa.
Kiashiria kwamba mgombea ndiye anakibeba chama tofauti na zamani ambapo chama kilimbeba mgombea. Kwa hiyo ccm badala ya kuchanganyikiwa mjiulize ni nani kawafikisha hapa.

 
Kwa sasa mwanachama wa ccm wa kuamini ni aliekufa tu maan hawezi kua kigeugeu lakini walioko hai hawaaminiki kabisa, heri uamini fisi uikabidhi bucha au uifungie kwenye banda la mbuzi kuliko kuchagua ccm.

Heei nimpe mwanaume mwingine mke wangu alale nae nikiamini hatamfanya chochote hata kama najua atamfanya kuliko kuamini mwana ccm na rasilimali zetu.

Heri uamini maji ya bahari ya hindi yanaweza kubadilika na kua maji fresh bila chumvi kuliko kuamini mwana ccm.
 
Viongozi wako wa Chadema wameshindwa kabisa kuzungumzia ufisadi... wewe hizo nguvu umetoa wapi??? Ng'ombe akiuzwa huondoka na kupe wake.... wapiga dili wapo kwenu, ndio maana viongozi wako hawaongelei ufisadi.... Kwa sasa mmepaki na neno moja.. Ooohh CCM haijafanya kitu ndani ya miaka 50,.....wakati mnapita kwenye Lami
 
Viongozi wako wa Chadema wameshindwa kabisa kuzungumzia ufisadi... wewe hizo nguvu umetoa wapi??? Ng'ombe akiuzwa huondoka na kupe wake.... wapiga dili wapo kwenu, ndio maana viongozi wako hawaongelei ufisadi.... Kwa sasa mmepaki na neno moja.. Ooohh CCM haijafanya kitu ndani ya miaka 50,.....wakati mnapita kwenye Lami

mkuu unapata shidah!! jeshi kubwa hili huliwezi bora utulie upige kura, utakufa kwa stress
 
mkuu unapata shidah!! jeshi kubwa hili huliwezi bora utulie upige kura, utakufa kwa stress


Wataamini ikifika October... wee waache... badala CCM wauze sera, wanaongelea watu majukwaani
 
Viongozi wako wa Chadema wameshindwa kabisa kuzungumzia ufisadi... wewe hizo nguvu umetoa wapi??? Ng'ombe akiuzwa huondoka na kupe wake.... wapiga dili wapo kwenu, ndio maana viongozi wako hawaongelei ufisadi.... Kwa sasa mmepaki na neno moja.. Ooohh CCM haijafanya kitu ndani ya miaka 50,.....wakati mnapita kwenye Lami


Soma vizuri hiyo mada... it seems hujui nn maana ya UFISADI NA NANI wanahusika...na MFUMO UPI ndio unalea ufisadi... uko kama haupo... haupo kama upo...!!!

MTAJI MKUU WA CCM, NI UJINGA WETU...
 
Mkuu unatisha kwa data zako ,,,,zimesimama sana hatoki mtu hapa viva oct 25th maziko ya ccm
 
Mkuu unatisha kwa data zako ,,,,zimesimama sana hatoki mtu hapa viva oct 25th maziko ya ccm


UKAWA wana kila sbb ya kushinda... na wana public support yote... na wana kila nyenzo...

sioni CCM itashinda vipi bado... hakuna namna.
 
Binti mrembo kama wewe huoni aibu kuandika vitu ambavyo watanzania wengi wanajua ni vya uongo. Watanzania wamepitia katika lami tokea kipindi cha ukoloni. Kama umezaliwa juzi hilo huwezi fahamu. Hii Lami ya magufuli nayo ni Lami sasa au uozo wa Lami.Barabara zina katika hata kabla hazijafunguliwa. Issue ya Ufisadi usiiongelee kama huijui maana ina upana wake mrefu tu.



Msamehe huyo... hata hajijui... maana anaandika kutoka ktk kichwa chake... msamehe bure.. hiyo ndio product ya CCM... imagine
 
Kwa sasa mwanachama wa ccm wa kuamini ni aliekufa tu maan hawezi kua kigeugeu lakini walioko hai hawaaminiki kabisa, heri uamini fisi uikabidhi bucha au uifungie kwenye banda la mbuzi kuliko kuchagua ccm.

Heei nimpe mwanaume mwingine mke wangu alale nae nikiamini hatamfanya chochote hata kama najua atamfanya kuliko kuamini mwana ccm na rasilimali zetu.

Heri uamini maji ya bahari ya hindi yanaweza kubadilika na kua maji fresh bila chumvi kuliko kuamini mwana ccm.



Kweli kabisaa... CCM madhambi yao ndio yanawahukumu... sio mtu yeyote..!!!
 
Mimi ni mwana ccm nikivaa nguo mtaani nazomewa hivi najiuliza kwa nini ccm tuchukiwe hivi? Bora nijiunge ukawa tuu......naombeni ushauri
 
Mimi ni mwana ccm nikivaa nguo mtaani nazomewa hivi najiuliza kwa nini ccm tuchukiwe hivi? Bora nijiunge ukawa tuu......naombeni ushauri


Karibu sana ktk ukombozi..... nchi yetu imeumizwa sana... we have to act
 
Asante mwanaukawa kweli mimi kama ccm nimekubali huu Mwaka ccm hatuna chetu ni Mwaka wa mabadiliko
 
"Ni jamii iliyochoka na kuchakaa; ni jamii iliyooza na kuchoma pua kwa harufu ya uvundo wa rushwa na kujaza nzi wakubwa wa rangi ya Kijani, Ni jamii yenye ufisadi na ukandamizaji; ni jamii isiyojua mbele wala nyuma, ni jamii iliyokosa dira".

Bunge lipo kwa jina tu kwa sababu limewekwa kwapani na watawala; Madaraka ya Rais ni makubwa kwa kiwango cha kupora demokrasia: Utajiri wa nchi upo mikononi mwa kikundi kidogo cha "wateule" na watawala kilichowageuza wananchi wadunda kazi wasiofaidi jasho lao.

Na pale maandamano ya wanawake, wanaume na vijana wenye njaa yanapopita karibu na Makazi ya Wenye nacho,Malodilofa husimama ghorofani, wakatutazama na kuuliza, "kulikoni?". Na walipoambiwa kwamba yalikuwa ya "malofa" wenye njaa waliokosa mkate wa kila siku, wao walijibu: "Kama ni hivyo, kwa nini wasile keki na mihogo?

"Vijana wanaangamia kwa kukosa maarifa mashuleni na wanaishia kubwia "unga" ambao ni biashara yao pendwa,vijana wenye vipaji vya mbalimbali wanageuka ombaomba na wakati wa Kampeni wanakuwa "lulu",wakulima wanazeeka kwa kazi ngumu mashambani na kukosa pembejeo na mazao yao yanaishia kukopwa kwa bei ndogo ajabu,wavuvi wanachomewa nyavu zao walizonunua kwa wafanyabiashara wajanja wenye meno,wawindaji wanaambiwa ni majangili huku tembo na twiga wakipandishwa ndege kwenda ulaya na Asia..

Dah! wagonjwa wanakufa huku wamelala mzungu wanne sakafuni mahospitalini kwa kukosa madawa,wakina mama wanajifungulia vichochoroni kwa ubovu wa barabara, Na wanapoona wanawapigia madai yao sahihi yamekuwa kelele wanaamuru majeshi ya ndugu zao wanyonge wawapige mabomu ya machozi na kuwaua na kuwatesa waandishi wa habari zao.Watawala wetu hivi leo wanatuhumiwa kumiliki mabilioni ya fedha wanayomiliki huku wakiyaita ni "vijisenti", au fedha ya mboga, wakati kipato cha Watanzania walio wengi ni chini ya shilingi mia nane kwa siku.

Wananchi wanapopiga kelele kugugumia bei kubwa ya kivuko wanaambiwa "Wapige mbizi" na pale ndege ya Rais na rada chakavu inaponunuliwa kwa pesa nyingi zenye asilimia kumi za wajanja wanaambiwa "Ni heri wale nyasi"…Pamoja na mikakati mikubwa na yakutumia fedha na rasilimali nyingi za walala hoi kwa ajili ya kuvuruga "Mabadiliko"

Wakati umefika,chama kilichokuwa na dhamana ya haya yote kipumzishwe,ili kijitafakari,kitakapokuja kwa mara nyingine (MUNGU akikijaalia) kije kikiwa kamili....Kwa wakati huu,nathubutu kusema,Naichagua UKAWA,...sio kwa sababu za uimara wa CDM,CUF,NLD,NCCR MAGEUZI ama Uimara wa UKAWA la hasha!!Ila ni kwa sababu ya udhaifu wa CCM."

ALUTA Continua, Victoria Ascerta".... "The Struggle Continues, Victory is Certain"; ...Mapambano yanaendelea, Ushindi unakuja!!
 
Back
Top Bottom