Uchaguzi 2020 Sababu kuu ya Lissu kushindwa, asilimia 80 ya Watanzania wanaishi Vijijini hawamjui Lissu ni nani, Magufuli anajulikana kila kona Vijijini

Duuu Lissu Kuna mtanzania gani asiye mjua utajua Kijiji Cha wap mkuu au umekula maharage ya wapi mkuu
Ndo ushangae. Saa hizi umeme umefika vijiji vingi sana, kuna televisheni na smartphone kila mahali. Watashindwaje kumjua Lissu?
 
CHADEMA wamekuwa wakijipa matumaini hewa kuhusu mgombea wao Lissu kushinda wakisema yuko popular sana. Wakisema wanalalia mtaji wa kura za 2015 ambapo Lowasa alipata kura milioni sita.

Kitu kimoja wanasahau Lowassa alikuwa Waziri Mkuu muda mrefu na Waziri aliyejulikana sana vijijini ambako asilimia 80 ya Watanzania ndiko wanaishi na ndiyo sababu yake moja kubwa kuzoa kura nyingi.

Rais Magufuli anafahamika vijiji vyote Tanzania nzima na ndiko wapiga kura wengi walioko, siyo mijini.

Hata mijini Lissu anajulikana miji michache, hasa kwa vijana wanaoshinda mitandaoni, hasa wa Dar es Salaam ambao wengi hata kujiandikisha kupiga kura wengi hawajajiandikisha. Ni washabiki tu wa siasa za mitandaoni.

Pigo kuu la kubwagwa Lissu litatoka vijijini. Natoa siri ya wazi kabisa bila kuficha. Vijijini huyu Lissu hawamjui.Ofisi za CCM zipo kila kijiji na hakuna mwanakijiji asiyemjua Magufuli ni nani.

CHADEMA waliwekeza viofisi vya hapa na pale vya kuzuga kwa msajili mijini viofisi vichache tu lakini vijini vijiji vingi hawako huko ndiko pigo zito la Lissu litatokea.

Ndiyo maana hata mapokezi yake utakuta walikuwa wengi vijana wadogo; hakukuwa na watu wazima na hata maeneo aliyopita watu walikuwa kama wakimashangaa hivi, na watu wazima walikuwa wala hawana hamasa naye, ni vijana mmoja mmoja tu pembeni mwa barabara alimopita walioonyesha hisia za kumshangilia hapa na pale. Ikamlazimisha mpiga kamera afiche kupiga kamera kwa aibu akawa haonyeshi kabisa walio pembeni mwa barabara msafara unamopita.

Kamera yake ikajikita tu kwenye vijana walioko kwenye msafara wake. Anayebisha aangalie hizo video za msafara wake toka uwanja wa ndege hadi makao makuu Kinondoni; camera imekwepa kabisa kuonesha watu waliojipanga kando ya barabara kuogopa aibu sababu hawakuwepo na waliokuwepo hawakuonyesha hisia za kumshangilia. Angalia kamera inawaonesha walioko barabarani tu, ambao wengi walikodiwa kumsindikiza.

Mpiga picha yeyote akiangalia tu anajua walipiga picha tu za kudanganya wazungu pembeni mwa barabara hakuwa na washangiliaji! Pamoja na jiji la Dar kuwa na umati wa watu full time.

Angalia usanii wa CHADEMA Lissu anapungia mikono wasindikizaji pembeni mwa barabara hakuna wapungia mikono.

Bibie
Una kiwewe hata kabla kampeni hazijaanza. Zikianza kampeni, si ndio utapata hedhi kila wiki?
 
Mbona wewe unaishi kijijini na unamfahamu? Hiyo opinion poll yako ya ramli ni fyongo
 
Tundu Lissu anafurahisha maini tu. Naye anajua hawezi shinda.
 
Back
Top Bottom