This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,903
- 4,979
Sasa hao weupe tutaenda kuwaazima au tunawatoa wapi labda.Tz kuna wazungu wangapi ktk timu zetu ili tuwachukue wachezee timu ya taifa.Au tuna raia wangapi wazungu ktk nchi hii.Mnaelewa kinachojadiliwa kweli.yani nakereka sana na kulialia huku kwa mtu mweusi
watu asili yao ni weupe ila weusi wanalazimisha wawe kati yao.
angalia timu zetu hatuna mweupe hata mmoja lakin hatusemi
waafrika tuko wanafiki sana