Sababu kuu kwa nini timu ya taifa ya Argentina haina mtu mweusi

yani nakereka sana na kulialia huku kwa mtu mweusi

watu asili yao ni weupe ila weusi wanalazimisha wawe kati yao.

angalia timu zetu hatuna mweupe hata mmoja lakin hatusemi

waafrika tuko wanafiki sana
Sasa hao weupe tutaenda kuwaazima au tunawatoa wapi labda.Tz kuna wazungu wangapi ktk timu zetu ili tuwachukue wachezee timu ya taifa.Au tuna raia wangapi wazungu ktk nchi hii.Mnaelewa kinachojadiliwa kweli.
 
yani wewe hauna kiwango ila unataka upewe nafasi kisa wewe ni mweusi wapi na wapi?

muwaache timu ya wazungu wacheze wazungu msiwabane
 
So taarifa ni uongo na hayo hayakutokea.Tuanzie hapo.

Kuhusu uongo ama ukweli utajua mwenyewe mjomba, Wanaume wa bongo mmezidi kulialia bwana. Timu yako ya taifa/Taifa stars ina mtu mweupe hata mmoja?????????? Huo sio ubaguzi???

Argentina ✔
Taifa stars ❌

So, Endelea kulialia mjombaa, na acha chuki zako, mashabiki kote ulimwenguni hawatakuelewa.
 
Back
Top Bottom