Sababu Kumi kwa nini sipigii kura vyama vya upinzani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sababu Kumi kwa nini sipigii kura vyama vya upinzani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpangamji, Sep 22, 2010.

 1. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nashukuru uhuru wa kuongea umekua na yeyote anaweza kusema lolote ili mradi havunji sheria za nchi hii. nataka niwashirikishe sababu zinazonipelekea kutopigia kura vyama vinavyojulikana kwa jina la upinzani.
  1. Vyama vya upinzani vinasema ukweli kuhusu maendeleo ya watanzania hivyo vinakiuka maana halisi ya siasa
  2. vyama vya upinzani vitawaamusha watanzania waliolala na kujua haki zao
  3. vyama vya upinzani vitawaondoa na kuwawajibisha wote wanaoihujumu nchi hii.
  4. vyama vya upinzani vitaangalia zaidi rasilimali za taifa zima na si za mtu mmoja mmoja hivyo watanzania wote tutakuwa sawa
  5. vyama vya upinzani vitatufanya tuwe na utaifa na hivyo kutufanya kununua vitu na mali zinazotengenezwa Tanzania, badala ya kuagiza mifagio na vibanio vya nywele China au India
  6. vyama vya upinzani vitaendesha nchi kwa haki na kufuata sheria hivyo kumfanya kila mtanzania kupata kile tu anachostahili bila ya ziada kama tulivyozoea
  7. vyama vya upinzani havitaongoza nchi hii kwa kuwapa watu uongozi kwa sababu ya urafiki, ushemeji au mali alizonazo mtu kwenye chama, au kwa kuangalia fedha alizochangia kipindi cha uchaguzi
  8. vyama vya upinzani havitakubali matajiri wapewe msamaha wa kodi kwa sababu tu, walichangia vyama vyao kipindi cha kampeni
  9. vyama vya upinzani havitawaonea haya matajiri waliogombea nyadhifa mbalimbali kwa lengo la kuficha madhambi yao na kukwepa kulipa kodi
  10. vyama vya upinzani havitateua watu kwa sababu ya dini au kabila bali vitateua watu kwa sababu ya uwezo na utumishi walionao katika kuiongoza Tanzania.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Sijui nikuweke kundi gani we Mpangamji!!
  Philosopher, or utopian!
  But i can see some blessings, hidden amongst the bush of disguise!
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kidogo niiruke thread nikidhani ni zile za Tandale One. Nimeanza kusoma nikafarijika. Mpangamji, na mimi niwekee kiwanja katika ujirani wako.
   
 4. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  gafla nikaanz kujiuliza nini tena hii??

  we kapige kura tu
   
 5. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  11. kwa sababu CCM yetu tunayoipenda itaitwa eti chama cha upinzani - haijazoea
   
 6. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  What an ironic expression
   
 7. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Joker!
   
 8. s

  skeleton Member

  #8
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thats true mkuu. Thanks for your reasonable reasoning!
   
 9. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Oooopps, you got me there, nilishaanza kuweka frowns kwenye face

  Nimekuelewa sana mkuu
   
 11. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yaani Heading na sababu zako ni tofauti ila at last nikakusoma Mpangamji......I know what you mean now.....GOOD Luck.....
   
 12. A

  Aristotle Plato Member

  #12
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Understood mkuu.tanzania needs thinkers like you.be blessed
   
 13. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  I wish my old Mum at Mugumu village had Your reasoning! Thanks Buddy
   
 14. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  11. kwa sababu vyama vya upinzani vitakomesha tabia ya viongozi wa sasa kufanya utawal wa nchi ni mali ya FAMILIA
   
 15. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Aisee sijui niseme nini hapa lakini Mkuu hata mimi naona nisipigie upinzani Kura sababu wengi wanashibia hapo.
  Wakishindwa baadhi ya familia zitaaibika kweli.
   
 16. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ukweli utakuweka huru! umesema vyema
   
 17. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
Loading...