Sababu kumbwa ya ukosefu wa ajira Tanzania

FELIPE

Senior Member
Aug 4, 2011
107
45
Chanzo kikuu cha ukosefu wa ajira hapa nchini ni serikali yetu. Kwa mfano mimi mwaka jana nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni ya wachina, nilipofika pale nilishangaa sana kukuta mpishi ni mchina, secretary, HR, Accountant, mtu wa procurement, baadhi ya madereva na mainjinia wote ni wachina.

Cha kusikitisha ni kuwa wachache sana ndo wana work permit. Kwa kipindi hicho hiyo kampuni ilikuwa inafanya miradi ya ujenzi ya serikali ya billion 102.

Chakusikitisha ni kwamba serikali wanajua hiyo situation kwamba ni against mkataba wao wa uwekezaji lakini wameuchuna. chakusikitisha ni kwamba hata vitu vidogo kama sigara vyote wanaimport kutoka kwao, hapo sasa niambie ajira watanzania tutapata wapi?
 
We si ulipiga kura m2 wangu sasa........be carefull 2015 wale wa ahadi zisizotimizika piga chini.
 
hata ukiwa mjasiliamali inabidi serikali ifanye kitu kidogo, imagine nimeanzisha restaurant lakini watanzania hawana ajira unadhan watakuja kula bure? ukizingatia wanaokula kodi zetu (wachina) wanajipikia wenyewe nyoka wao.
 
kotukuaminiana wazawa wenyewe kwa wenyewe na kuwapa kipa umbele wageni kutoka nje ya Tanzania.kwa mfano HOtel nyingi za kitalii zinaongozwa na ma meneja wa Kenya haliyakuwa kuna watanzaina wengi tu wanasifa hizo za kuongoza. pamoja na wengi wetu hatujaaenda shule ila wako wachahce wenye elimu zao wako mitaani, hii inakatisha tamaa hata kwa wale ambao hawajasoma kujiendeleza kwa bidii.
 
Chanzo kikuu cha ukosefu wa ajira hapa nchini ni serikali yetu. Kwa mfano mimi mwaka jana nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni ya wachina, nilipofika pale nilishangaa sana kukuta mpishi ni mchina, secretary, HR, Accountant, mtu wa procurement, baadhi ya madereva na mainjinia wote ni wa china, cha kusikitisha ni kuwa wachache sana ndo wana work permit. Kwa kipindi hicho hiyo kampuni ilikuwa inafanya miradi ya ujenzi ya serikali ya billion 102. Chakusikitisha ni kwamba serikali wanajua hiyo situation kwamba ni against mkataba wao wa uwekezaji lakin wameuchuna. chakusikitisha ni kwamba hata vitu vidogo kama sigara vyote wanaimport kutoka kwao, hapo sasa niambie ajira watanzania tutapata wapi?
HILI NI TATIZO KUBWA SANA KILA NYANJA HAPA NCHINI........ Nenda migodini........... kuna mtu miaka ya 2000 hadi 2006 alikuwa pale KMCL by then na hakuwa akijuwa hata kuandika jina lake.............. Nenda mahotelini........ Nenda TRENTYRE za m igodini...mziba pancha M-SA we acha....tu.. SO long as mitoto yao imejaa BOT na kwingineko basi wamnaamua kukaa kimyaaaaaaa........
 
Back
Top Bottom