Sababu kubwa ya Wahadhiri na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Uganda ' Kujiua ' ni hii ila sijajua kwa Tanzania ni ipi hasa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,791
Imegundulika ya kwamba 99% ya Vifo vinatokana na ama Wahadhiri au Wanafunzi wa Elimu ya Juu ( Vyuo Vikuu ) nchini Uganda Kujitoa Uhai wao ( Kujiua / Kujidedisha ) mara kwa mara ni Mahusiano ya Kimapenzi ambapo ama Mhadhiri amezidiwa Kete na Mwanafunzi wa Kiume au Mwanafunzi nae amezidiwa Kete na Mhadhiri au Mwanafunzi wa Kike amakuta amechanganywa na Rafiki yake wa Kike kwa ama Mhadhiri Mmoja au Mwanafunzi mmoja hivyo kupata Hasira na kuamua Kujitanguliza kwenda Kaburini

Je kwa Tanzania sababu huwa ni zipi?

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom