Sababu kubwa ya viongozi wetu kutosafiri ni Afya

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,598
8,738
Imefika wakati wa kuwaeleza ukweli Watanzania. Kuumwa ni mambo ya Mungu na watu wengi wataelewa. Nitajaribu kuwa general hapa msije mkaniweka kwenye list bure.... Sasa ndugu zangu wazee wetu hapo wana matatizo ya Afya hasa Moyo. Hivyo miaka ya nyuma kuna kiongozi mmoja aliwekewa pacemaker. Hii ndiyo sababu ya kutokusafiri sana maana wanaogopa atachoka. Kiusalama tu ni lazima tuwe makini CIA wana info za pacemaker zote hasa kwa wale waliowekewa zamani sababu ina monitoring system hivyo technical siamini kama watafanya lakini wanaweza kuwafanyia chochote maana wamesha hack system za hizi kampuni za pacemaker

A pacemaker is a small device with two parts — a generator and wires (leads, or electrodes) — that's placed under the skin in your chest to help control your heartbeat.

People may need a pacemaker for a variety of reasons — mostly due to one of a group of conditions called arrhythmias, in which the heart's rhythm is abnormal.

Normal aging of the heart may disrupt your heart rate, making it beat too slowly. Heart muscle damage resulting from a heart attack is another common cause of disruptions of your heartbeat.

Some medications can affect your heart rate as well. For some, genetic conditions cause an abnormal heart rate. Regardless of the underlying cause of an abnormal heart rate, a pacemaker may fix it.

A pacemaker can often be implanted in your chest with a minor surgery. You may need to take some precautions in your daily life after your pacemaker is installed.

WHAT IS REMOTE MONITORING?

Remote monitoring is a way for your implanted heart device to communicate with your doctor or clinic using a small monitor, potentially reducing the number of times you have to travel to your clinic for an implanted heart device check.

Studies show that remote monitoring:

  • Helps doctors detect abnormal heart rhythms & issues with heart devices faster 1,2
  • Reduces hospitalizations and ER visits 3,4
  • Increases Quality of Life 4
  • Provides patients with a sense of security and peace of mind 5-7
Remote monitoring is prescribed by your doctor. It provides easy access to information that allows your doctor to:

  • Manage your heart condition
  • Monitor your implanted heart device
  • Obtain information from your implanted heart device on an as-needed basis
 
Sababu za kutosafiri ni hizi

Serikali zisizojiamini mara nyingi huwa wanaogopa kusafiri nje kwa kuogopa watakaposafiri watapinduliwa Na washindani wao,

SABABU YA VIONGOZI KUTOJIAMINI

1. Viongozi wasiojiamini mara nyingi huwa waliingia madarakan kwa njia za mkato, Ama udikteta au udanganyifu katika mchakato wa kuitafta ikulu

2. Viongozi wasiojiamini wanakuwa Na tetesi kwamba kuna mpango mbaya endapo watasafiri kwenda nje ,

3. Kutojiamini kwa viongozi mara nyingine husababishwa Na timu iliyomzunguka kutokubaliana Na anayoyaamini, anaogopa akitoka tu watampindua,

4. Serikali Ama viongozi wasiojiamini mara nyingine ni kutokana Na uongozi uliopita kutoaminika, Ama kuwa waliacha mfumo Ukawa wazi sana mpaka ngazi za juu za jeshi Na mamlaka nyingine zikawa Na vibaraka wa wasaka ikulu kwahiyo kiongozia anakuwa hajawa Na imani mpaka apasafishe pote,

MUDA WA KUTOJIAMINI HUMALIZIKA LINI

Muda wa kutojiamini umalizika ndani ya miaka ya 2-3 hapo ndo viongozi huanza kusafiri nje mara kwa mara Na kuanza kufanya kazi za taifa kimataifa,

Haimaanishi kuwa kipindi wakubwa hao au viongozi wanapokuwa hawasafiri huwa hawana uwakilishi nje ,la hasha wanakuwa nao, muda mwingi hutuma mawaziri , makamu wa marais wao kuwawakilisha, au mawaziri wakuu,

SABABU NYINGINE NJE YA KUTOJIAMINI
1. Masharti ya watangulizi wao , ukiona watangulizi wanaendelea kusafiri kila sehem inaweza kuwa ni mpango kuwa "nakuweka ikulu kwa njia yeyote lakin safari za nje niachie Mimi"

2. Kulinda maslahi ya nchi husika Na kupunguza gharama za kusafiri nje

3. Kukataa kuyumbishwa Na wanaojiona wakubwa wa magharibi

FAIDA ZA MKUU WA NCHI KUSAFIRI NJE
1. Nchi inakuwa Na uwakilishi wa uhakika katika masuala ya maendeleo Na kwakuwa mkuu wa nchi anakuwa Na say ya mwisho Hakuna mlolongo katika kuamua

2. Mkuu anaona hali ya nchi nyinginezo Na kupata mbinu ya kuimarisha uongozi wake Na kuleta mbinu mbadala katika nchi kuliko kusubiri kusimuliwa Na aliowatuma,

3. Kunakuwepo Na kukutana moja kwa moja ma wawekezaji Na mwenye nchi, yaan mkuu wa nchi,

4. Kunakuwepo kuitangaza nchi kimataifa zaid na kuzitoa fursa kwa wawekezaji wakigeni

5. Ubongo wa wakuu wa nchi hufunguka kupitia semina Na mukutano mbali mbali, wanaondoa mawazo local katika ubongo Na wanakuwa modernized,

ANGALIZO
safari za nje zikipitiliza husababisha hasara kwa taifa Na mkuu wa nchi kuonekana omba omba katika mataifa ya watu,

CC Samweli Mathayo
 
Interval muda kati ya mtoa maada na urefu wa comment yako inafikirisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom