Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,466
- 113,548
Tupo na tulishasema huko nyuma, labda tuu tufanyareference upya!.Je wapo ambapo wanauunga mkono mchakato huu? Kwanini wanafanya hivyo wajaribu kutushawishi na sisi wengine...
Kwa kifupi ni 'haba na haba'...
Kidogo kidogo...
Moja shika sii kumi nenda rudi!,
Ukipewa shubiri, usichukue pima!
If you can't get what you want, just take what you get!, because something is better than nothing!.
Kwa vile katiba iliyopo ni nothing, na japo tunataka "katiba bora", huu mchakato, hautatupatia katiba bora, bali utatupatia "bora katiba!". Hii bora katiba ni something better than nothing!, tuipokee na tukishaingia wenyewe, ndipo tuwaletee hiyo katiba bora!.
Pasco.