Sababu ipi imekufanya/inakufanya uingie kwenye ndoa?

mim jibu langu nadhani ni mapenzi,ukimpenda mtu wako unataka ulale naye uamke naye,yaan uwe nawe karibu kadri iwezekanavyo,na kama mtalala pamoja na kuamka pamoja ina maana mtafanya mapenzi,sasa ili muhalalishe kufanya kwenu mapenzi ndio mnaoana,na hapo ndio kipengele chako no.1 cha kutii agizo la Mungu kinapohusika.Kipengele no.5 pia kinahusika lkn kwangu sio kwa umri kusonga bali kuna umri fulani unajiona kuwa niko tayari kuwa mke,nimekomaa kiakili,hata kama utakua hujaolewa lkn unaweza kuhisi kuwa umekomaa kuweza kuikabili mikiki ya ndoa.
Hivyo kwangu mm ni mapenzi kwanza,hawezi kuolewa ili upate watoto sbb huwezi jua what God has in store 4 you,anaweza kuwa Mungu kakupangia mengi mazuri lkn sio mtoto,sasa ukiolewa ili upate watoto usipopata ina maana ndoa yako utaiona si ndoa.

Hivyo vigezo vingine sidhani kama vina uzito japo vinatumika na wengi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom