Sababu ipi ilifanya mpenzi wako awe Ex wako?

Niligundua kuwa ni mjumbe aliyeshiriki uchaguzi wa mbuge mteule kule Kigamboni, Nikapiga chini! Wajumbe wana roho mbaya sana!
 
Binafsi nilikuta kwenye simu yake kanisave "KIBERENGE" na hiyo ilikuwa ni line ya Voda.. halotel nikakuta kanisave "KAMONGO"!

Baada ya kutafakari kwa kina nikaona nimuache tu nibaki na huo ukamongo wangu nimuondolee jam mtoto wa watu!!..

Wewe je, ni sababu ipi ilikufanya mpenzi wako awe ex wako..??
Kila siku mi nilikuwa ndo namtafuta mie ndo mtoa salamu kila siku ilifika mahala nikaona nikaushe kwanza basi mpka leo kila mtu yupo kimya na mapenzi ndo yakafa hivooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom