Sababu gani inayofanya meno ya mbele kufa ganzi ukingata barafu

fungi06

JF-Expert Member
Jul 1, 2020
632
854
Za mida?

Nimekua nikifikiria mno juu ya ili swala bila mafanikio

Japo ni wazi kila mzizi wa jini uko connected mpaka kwenye ubongo naisi imnazifahamu nerves vyema?

Basi kila jino mdomoni mwako liko connected na ubongo lakini turejee kwenye kichwa cha uzi kilivyo sema apo juu

Kwa wale wataalamu wa mambo najua mpo naombeni muelezee kwa lengo la kusaidia wale ambao awajui

"Je ni kwa nini mtu au baazi ya watu nikiwemo na mimi, tukingatia barafu kwa meno ya mbele tunaskia maumivu ya ganzi kali?"

Karibuni...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom