mzalendo damuni
Member
- Nov 29, 2016
- 96
- 60
CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani TZ kinapambanaa na vikwazo, na hujuma nyingi toka chama dollar ambachoo kinatumia mbinu nyingii kudhofishaa upinzani.
Mbali na vikwazoo Vyote CDM inavopitiaa bado chama hiki kinazidi kuchanja mbugaa na kupangua kete za CCM. Wengi wanageuka watabiri na kukitabiria kifo hiki chama lakini badoo nina imani kubwa na hiki chama cha CDM.
Kwanini Mbowe?
Chama kikubwa cha upinzani ambacho kinakomalia kuchukua dola lazima kiwe na Mwenyekitii imara. Kumbuka watawalaa wanaweza mtumia mwenyekitii tu kuua upinzani mfano prof. Lipumbaa ambaye dhahiri anaonekana kupewa sapoti na CCM mradi aivuruge CUF na UKAWA kwa ujumla wake. Hivyoo basi CCM wanataka kumdhoofishaa Mbowe kwanza kiuchumi maana ni Mwenyekiti ambaye bei yake hawaiwezi.
Walishafanikiwa kuwanunua akina Mrema, ZZK, Lipumbaa, lakini Mbowe bado ni bei mbaya. CCM wanataka Mbowe atoke waweke pandikizi lao waharibu upinzani waendelee kutawala milele ndio maana hawaishi kumwandama.
Nawaombaa wana CDM na wapenda mabadiliko tuimarishe upinzani. Bila upinzani imara, CCM itatupeleka shimoni. Tumwombee ujasiri mwenyekitibwetu bora, Freeman Aikael Mbowe