sababu 51

kashibdwa kukuza michezo.
Inaonyesha hujaangalia fifa ranking kabla na baada ya 2005, hujaangalia mechi ngapi za kimataifa tumeshinda? ..duh fanya homework kidogo kabla ya kuleta allegations
 
39. alidai kuwa atawawezesha wanawake wa kanda ya ziwa.
kilichotokea sasahivi ni vifo vya wajawazito vimeongezeka, amewawezesha katika -ve direction.
 
Inaonyesha hujaangalia fifa ranking kabla na baada ya 2005, hujaangalia mechi ngapi za kimataifa tumeshinda? ..duh fanya homework kidogo kabla ya kuleta allegations

Bwa ha ha

eti fifa rankings, ukipewa muda zaidi utaleta rankings za OIC
 
Bwa ha ha,

Umsapoti Mbowe na dr slaa ufukuzwe kazi ya "umaalim"? Moyoni kiroho kinakuuma kweli ila basi ndio hivyo tena, boko haramu hawezi kukuruhusu hata ukilia machozi ya damu?
Kama ambavyo moyoni wako unavyouma endelee kukonda sisi tunapeta 2010 tunapeta sijui slaa na mbowe wako watakuwa wapi? ha ha ha go on crying
 
Tumaini,
nilisema JK ajakuza michezo ni kweli hajakuza michezo, wewe umekuja na FIFA ranking, kumbuka michezo siyo soccer, michezo ni riadha, ngumi, socer, netball na kadhalika. kama michezo imekua njii hii niambie ni kwa vipi?lakini me najua michezo imezidi kudorora. hakuna hata medal ya olympic au hata michezo ya jumuiya ya madola,hapo ndo kipimo cha uwezo wa michezo maana ni aina nyingi za michezo hushndaniwa kimataifa.
 
41: Ukosefu wa umeme; mpk leo hamna ni jinsi gani tutatoka kwenye kiza hiki! Kila siku hela zinaliwa na mgomo upo hata rescue measures ni mpk magazeti yamwandikee ndo kujua cha kufanya
 
Wee Tom vipi. Hotuba itolewe na rais bungeni then awajibike waziri wake aliyejikalia kitini akimkodolea macho?
Halafu kuhusu Bl260 za epa kila mwenye sikio alimsikia na huenda ndicho kitu kilichosababisha serikali kuikingia kifua hiyo hotuba kujadiliwa mpaka kesho.
-sababu mojawapo ya 51--aliahidi kufungua bank maalumu ya wakulima kwa pesa zinazodhaniwa kurejeshwa na vibaka wa epa lakini hadi wa leo hatujaiona
 
40: Anaendesha siasa za chinichini zenye ukabila au ukanda na udini yaani kila mradi sasa unaenda pwani au Bagamoyo kuanzia EPZ, bandari, uwanja wa ndege mpk mabarara katika kipindi cha miaka minne sasa ndani ya miaka kumi atakuwa kama Mobutu!
 
Inaonyesha hujaangalia fifa ranking kabla na baada ya 2005, hujaangalia mechi ngapi za kimataifa tumeshinda? ..duh fanya homework kidogo kabla ya kuleta allegations[/QUO

Dogo, kwani michezo ni soka peke yake?
Mbona hutoi maelezo kuhusu ziara za usindikizaji kwenye riadha na michezo mingine?
fanya homework kabla ya kubisha
 
Inaonyesha hujaangalia fifa ranking kabla na baada ya 2005, hujaangalia mechi ngapi za kimataifa tumeshinda? ..duh fanya homework kidogo kabla ya kuleta allegations

we taja kombe lolote kubwa tulilochukua au ni mashindano gani makubwa tulishiriki kwa mafanikio acha siasa zako za fifa rankin.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom