Sababu 5 Kwanini Bei Ya Gesi Inapanda na Hatua za Kuchukua Ili Uokoe Pesa Nyingi Katika Kununu Gesi

Sep 6, 2016
22
8
Hivi karibuni kumeibuka mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii watu wengi wakijadili swala la kupanda bei ya gesi ya majumbani amapo mtungi wa kilogram 16 uliuzwa kwa 52,000 hadi 53,000 na wa kg 6 ulikuwa 21,500 hadi 22,000.

Swala hili limepelekea kila mtanzania kuongea kile ambacho anafikiri au unavyojua. Kwa kuwa sekta ya mafuta na gesi asili bado ni changa hapa nchini watu wengi wamekuwa wakitoa taarifa ambazo sio sahihi kuhusu swala hili,

Kuna ambao wanaosema gesi ya kupikia tunayotumia sasa ni tofauti kabisa na ile inayozalishwa mtwara, kuna ambao wanaona ni bora warudi kutumia kwenye matumizi ya nishati ya mkaa na kuni ambazo ni hatari kwa mazingira na kiafya kuliko kuendelea kulipa gharama kubwa.

Kupitia makala hii utajifunza maana ya gesi tunayotumia kwa matumizi ya nyumbani, chanzo chake na kwa na vitu gani vina sababisha bei ya gesi kupanda.

Tanzania Tuna gesi Ya Kutosha hadi Kuweza Kuanza kuiuza nchi za jirani

Ukweli ni kwamba Tanzania tumebarikiwa gesi yenye ukubwa wa futi za ujazo trillion 57.17 na utafiti bado unaendelea hivyo kiwango hicho kinaweza kuongezeka muda wowote ule.

Kwa afrika masharki Tunashika namba mbili tukiongozwa na Msumbiji ambao wana gesi yenye ukubwa wa futi za ujazo trillion 100

Hicho ni kiwango kikubwa cha gesi ambacho si tu kinaweza kutatatua mahitaji ya nishati nchini kama vile umeme, nishati safi ya kupikia, vile vile tunaweza kuuza nishati hii kwa nchi za jirani hasa ukizingatia tunazungukwa na nchi ambazo zina mahitaji makubwa ya nishati kama Kenya Uganda ambao hawana hata lita moja ya rasilimali gesi asilia.

Swali kubwa ambalo limekuwa likiwasumbua wengi kwa nini licha ya kuwa na gesi ya ukubwa wa futi za ujazo trillion 57 bado bei ya gesi ya majumbani bado inapanda bei. Endelea kuwa nami hadi mwisho wa makala hii utajua ni kwa nini bei inapand na nini ufanye ili uepukane na adha hiyo

Bofya Link Hii Kusoma zaidi ( Sababu 5 Kwanini Bei Ya Gesi Inapanda Wakati Inapatikana Nchini Na Hatua za Kuchukua Kuokoa Pesa Nyingi Kwa Kununua Gesi)
 
Hata hivyo hujatoa sababu zinazo fanya bei ipande na lengo lilikuwa ni kutoa hizo sababu na hujatoa. Huku niliko hata Elfu 10 kwa 16kg haufiki, wanatu wanajua kutumia fursa kikweli.
 
Hata hivyo hujatoa sababu zinazo fanya bei ipande na lengo lilikuwa ni kutoa hizo sababu na hujatoa. Huku niliko hata Elfu 10 kwa 16kg haufiki, wanatu wanajua kutumia fursa kikweli.
Kwani wewe uko wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom