Sababu 2 kuu zilizowanyima CUF kura

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
814
Nikiwa mmoja wa vijana wakimapinduzi,nashawishika kulaumu japo sipashwi kulaumu. Kushindwa kwa kafu ni kushindwa kwa upinzani wote tz. Sababu ya kwanza ni udini. Sababu ya pili ni kuiponda CDM. Cuf walinyamazia mashehe walivyotoa matamko kuwaambia waisilamu wasiipigie cdm,wakisahau kuwa watanzania ni wamoja. Cuf walikuwa wanapigana na kivuli chao, kitendo cha kuwaponda wapinzani wenzao ilikuwa sumu kwa wapiga kura.waliwafanya cdm wapinzani wao ccm wapinzani wenzao,walikuwa wanawapinga cdm badala ya ccm.
 
Basically;watanzania uwa hatuwaelewi CUF kwanini wanapigana na CDM kwa nguvu sana kuliko hata na CCM...uelewa wa watanzania utawafanya CUF kufa kifo cha mende.....
 
hamad rashid ndo mbaya wa cuf tanganyika, huyu jamaa ameweka bifu na cdm kwa masilahi yake binafsi, huyu jamaa asipo angaliwa na cuf wameisha. H.R ndo chanzo cha tofaut ya wapinzani. hata nccr wasingemshtukia huyu jamaa wangepoteza heshma. lkn shauri yao bwana.
 
Baba na mama wanapogombana hawatakiwi wawashirikishe watoto,gomvi ni lao
 
Basically;watanzania uwa hatuwaelewi CUF kwanini wanapigana na CDM kwa nguvu sana kuliko hata na CCM...uelewa wa watanzania utawafanya CUF kufa kifo cha mende.....

Mimi ndio siwaelewi vizuri hawa watu. Huyu Mtatiro ndio hovyo, sijui anang'ang'ania nini huko. Hovyo sana!
 
Sio kweli kuwa Hamad Rashid ni tatizo ktk CUF mmeona ndio mwiba wenu.tatizo lenu Chadema mnataka kuwa kila mpinzani nchi hii ni lazima awe Mfuasi wenu, kumbukeni kuna vyama vya siasa zaidi 23 vyenye usajiri wa kudumu ukiondoa chama cha Mpenda zoe, na sio kweli kuwa mpenda zoe eti anakubalika las hasha na sio kweli kuwa mpenda zoe eti anaipenda chadema la hasha kwani angekuwa amnaipenda aqsinge anza kusumbuka kuanzisha CCJ. Mpenda zoe ameisha laaniwa kwa kuwaacha Solemba wananchi wake wa kishapu na kwenda idara ya maelezo kujivua gamba. mfano mzuri ni Rostamu iliytakiwa naye MPEND MPENDA ZOE Aende kwa wapga kura wake akawaambie adhima yake, aliona ufaharri kuandikwa kwenye magazeti kwa siku moja.na SEGEREA HATUKUTAKI RUDI KWENU KISHAPU KWA WASUKUMA WAKO. MTATORO BIG UP
 
Kwa kifupi CUF ni CCM B, Kwa hiyo kura zao nyingi waligawana na wenzao wa CCM A, hivyo wana haki zote za msigi kukosa kura!!
 
Angalia matokeo ya viti vya madiwani katika uchaguzi uliofanyika juzi ndipo utajua kama CUF bado wapo au Walishakufa kifo cha Mende zamani. Wameendeleza record yao ya kupata idadi ya kura ambazo ni Single digits . Ni sawa na namba za size ya viatu vya kike au kitoto

Kwa hiyo CUF kwa sasa ni Wazee wa Single Digits
 
Sababu ya kukosekana kwa umeme nchini ni uhaba wa mvua ,na serikali haiwezi kutengeneza mvua ! Dr jakaya kikwete
 
hawa CUF kwa huku TzBara ndo basi,,,!
Cuf wanapingana na CDM tu kwa vile tayari CCM-B!
Ata Uchaguzi wa Igunga,CCM wamemegewa kura na CUF ili waishinde CDM!
CDM Hoyeeeeeeeeeeeeee!
Peopleeeeeeees Power!
 
CDM ni chama cha Wakristo ndio maana sehemu ambako kuna wakristo wengi ndio wanafanya vizuri na sehemu ambako kuna wakristo wachache huwa wanaambulia kura chache.

hiki ni kichekesho....wewe sio great thinker...sasa Igunga ndio kuna waislaamu wengi kwa mtazamo wako...pamoja na kuchakachua tofauti ni kura 3000....bado huna hoja maneno yako ni upuuuzi na sio kweli....tafakari
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom