Kama umejua amesahau means unaijua, na kama unaijua iweke usiwe kama mmbea anaesema,niseme nisiseme!!!!!?Kuna na sifa ya 12 naona umeisahau!! Watakutajia tu hapo chini subiri waje
SIFA HIZO MBONA MAGUFULI ANAZO NAZA ZIADA PIA ZIPO1.Ni mvumilivu
2.Mzalendo wa kweli
3.Ni mzoefu katika siasa za taifa hili
4.Ni mbunifu
5.Ni kiongozi imara
6.Ana ushawishi
7.Ana huruma
8.Ni mkweli
9.Ana hekima na busara
10.Ana maamuzi yenye faida kwa taifa
11.Ni mchaMungu.
Jifunze kiswahili, sema mkabila sio mkabira. Huna ulimi?13 Ni mkabira wa kupitiliza
Hana hata mojaSIFA HIZO MBONA MAGUFULI ANAZO NAZA ZIADA PIA ZIPO
1.Ni mvumilivu
2.Mzalendo wa kweli
3.Ni mzoefu katika siasa za taifa hili
4.Ni mbunifu
5.Ni kiongozi imara
6.Ana ushawishi
7.Ana huruma
8.Ni mkweli
9.Ana hekima na busara
10.Ana maamuzi yenye faida kwa taifa
11.Ni mchaMungu.
SIFA HIZO MBONA MAGUFULI ANAZO NAZA ZIADA PIA ZIPO
Haya Mkuu ahsante kwa marekebisho hayo. Lakin unaamin kuwa lowasa ana sifa hizo. Akili yako inaamin kuwa lowasa anaweza kuwa kiongozi bora. Kweli. Kama anaweza unajua kwa nn CCM walimkataa.Jifunze kiswahili, sema mkabila sio mkabira. Huna ulimi?
Hana hata mojaSIFA HIZO MBONA MAGUFULI ANAZO NAZA ZIADA PIA ZIPO