SABABU 100 za kwanini ni vema na busara KUIPUMZISHA CCM kwa miaka 100

NYAMKANG'ILI

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
223
112
Wajinga wanafikiri tunaposema CCM ipumzishwe kuongoza nchi yetu, tunasema hivyo kwa sababu za kijinga kama, kwamba:

1) Mwenyekiti wake ni ALHAJI JK, Makamu ZNB ni ALHAJI SHEIN, Katibu Mkuu ni ALHAJI KINANA au kwa sababu Makamu Tanganyika/Bara ni PHILIP. HAPANA siyo hivyo, au

2) CCM imekaa madarakani muda mrefu. HAPANA siyo hivyo, au

3) CCM wanaitana WAHESHIMIWA (japo wao wenyewe hawajiheshimu). HAPANA siyo hivyo.

KAMA kuna mtu anafikiri hivyo, kwamba hizo ndo sababu za WATANZANIA kutaka CCM ipumzike, ni MPUMBAVU. Mtu huyo hafai.


KUNA SABABU za maana zaidi ya 100 ZA MSINGI za kuitaka CCM ipumzike. BAADHI ya sababu hizo ni kwamba tunaitaka CCM ipumzike kwa sababu:

i) CCM na viongozi wake ni wezi: wanatuibia raslimali za taifa kama TEMBO/meno ya tembo, twiga na wanyama wengine wanaosafirishwa wakiwa hai kwenda nchi za nje hasa UARABUNI;

ii) CCM wanatunyang'anya hazina pale BENKI KUU kupitia EPA, MEREMETA, DEEPGREEN FINANCE nk na kuipeleka USWISS kwa ajili ya wao peke yao na wanao;

iii) CCM wameshindwa kutulinda sisi, usalama wetu na mali zetu, kwani polisi wanaopaswa kutulinda ndo wanaoongoza kwa kutuua na kutunyang'anya mali zetu (rejea taarifa za rushwa na haki za binadamu);

iv) CCM inatoa ahadi hewa ambazo haizitekelezi (rejea ahadi za JK 2005 na 2010 utajiridhisha kwamba ni utapeli mtupu); na

Kadharika, kadharika ... (ongeza sababu unazozijua wewe)

TUUNGANE TUIPUMZISHE CCM kabla haijatusafirisha nje na sisi tukiwa hai kwenye mandege ya AL ALAWI kama twiga wetu walivyosafirishwa ...
 
NYAMKANG'ILI KItu kikifanyika kwa muda mrefu sana hujeuka kuwa utamaduni au mazowea hata wewe ukiwa na staili fulani ya maisha kwa muda mrefu hujeuka kuwa utamaduni ambao uutekeleze au usiutekeleze haina shida kwa sababu ndiyo staili ya maisha uliyozoea ili ubadili stahili hiyo inabidi kitu fulani kitokee kwenye maisha yako ndiyo ubadilike sasa CCM imekaa madarakani kwa muda mrefu inaamini kuwa ndiyo pekee yenye haki ya kuongoza ndio maana hata leo haiwezi kukemea ufisadi, rushwa ndiyo imekua jadi yao huwezi kupata uongozi ndani ya ccm bila rushwa sasa inabidi CCM upumzishwe ili ipate muda wa kujifunza
 
Last edited by a moderator:
Wamwkosa dira na hawana mbinu wala mawazo mapya ya kuendesha nchi wampumzishwe tuu hao
 
Pamoja na wingi wa Rasilimali tulizonazo kama bahari, mito, maziwa, madini, gesi, makaa ya mawe, n.k lakin bado wameshindwa kututoa kwenye lindi kubwa la umasikin tulilonalo Watanzania.
 
badili heading yako kwanza, ntarejea, usiwe kama lile kubwa jinga (la matuc), linaandikaga upumpu
 
wapishe sura nyingine(namaanisha chama kingine),jamani ccm tumewachokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Tuungane vijana kwa wazee nhi nzima kuikataa ccm, hatakama wanatupa rushwa na kututishia polisi
 
8.-Maelfu-ya-wananchi-waliohudhuria-mkutano-huo.jpg
kwa mpango huu ccm itazidi kuliongoza taifa hili.wenye wivu mjinyonge.
 
Ndugu Nyamkang'ili hakika umeamsha huzuni zangu. Yaani sielewi tufanyeje maana kama 2015 tusipoweza kuwaondoa kwa njia ya kura, Tanzania kuzama..... Maana unakumbuka mwaka 2010 walichakachua kura!!!!

i) CCM na viongozi wake ni wezi: wanatuibia raslimali za taifa kama TEMBO/meno ya tembo, twiga na wanyama wengine wanaosafirishwa wakiwa hai kwenda nchi za nje hasa UARABUNI;

Kule Loliondo - waarabu hawa wanatenda ndugu zenu tofauti - KINYUME NA MAUMBILE


WATCH OUT, WEKA MBALI NA TEMBO.

Nyamkang'ili - hapa ujumbe wako umefika kwa wengi. Ila sasa naomba tuuweka kwenye sms na kusambaza kwa watanzania wengi hadi vijijini.
 
Back
Top Bottom