sababu 10 kwanini argi+ inakufaa sana... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sababu 10 kwanini argi+ inakufaa sana...

Discussion in 'JF Doctor' started by Mjasiriamali1, Sep 25, 2012.

 1. M

  Mjasiriamali1 JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,318
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ARGI+

  1.inasaidia mifumo yote ya mwili kufanya kazi ipasavyo.ikiwamo mfumo wa chakula,majitaka,ufahamu.

  2.inakupa stamina ya mwili

  3.inadhibiti blood pressure zote za kupanda na kushuka.

  4.matatizo ya mifupa,mishipa inasaidia sana.pia hujenga tissue mpya ivo huongeza kinga ya mwili.

  5.inacontrol na kukupa stamina tatizo la hamu na nguvu ya tendo la ndoa mda wote na si wakati wa kufanya maopenzi tuu

  6.inaondoa mafuta mafuta katika mishipa ya damu na sehemu zisizo takiwa.

  7.huondoa uchovu hasa kwa wale wanaofanya kazi kwa mda mrefu. na miili yao kuchoka na kuishiwa nguvu

  8.inauwezo mkubwa wa kucontrol sukari katika damu kufanya sukari katika damu iwe nyepesi.ivo ina maintain sukari inayohitajika

  9.inadhibiti cholestro

  10.inarudisha muonekano wa ujana kwa asilimia 80%.ni sababu ya uwezo wa kujenga tissue mpya katika mwili ,ivo ngozi hurudi asili ya ujana zaidi.


  (+)
  kama inavyoitwa
  imeongezwa
  vitamin C
  vitamin K2
  vitamin B6
  vitamin D3
  vitamin B9
  vitamin B12
  pamoja na mmea unaitwa l-arginine inakupa matokea hayo hapo juu.

  kwa maelezo zaidi-pls contact 0713297066
   
 2. JohnShaaban

  JohnShaaban JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 23, 2007
  Messages: 465
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Duniani kote, dawa hutangazwa kwa kuweka wazi vitu vinavyotumika kuitengeneza (ingredients). Hii inamsaidia mtumiaji kuona kama kuna ingredient yenye kuweza kusababisha madhala (side-effects or allergies) kwa mwili wake na namna ya kubiliana na matokeo ya madhala hayo.

  Haina haja ya kusema unatengeneza vipi dawa yako, lakini weka wazi ingredients, na kazi yako itaonekana makini zaidi. Hii ni rahisi kwani unaweza chukua mmea na kuukamua kiasi kisha kutafuta wataalam wapime na kukwambia ingredients ili kupunguza madhala kwa watumiaji. Shime, nina hakika utaalam wako una potential kubwa.
   
 3. R

  Rodgers Senior Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Mtoa hoja ningeomba ufafanuzi zaidi. Hii argi + ni dawa inayouzwa maduka ya dawa ama ni ubunifu wako binafsi? kwa maelezo yako inaonekana kuwa msaada mkubwa kwangu kama itakuwa inafanya kazi kwa kadri ya maelezo yako.
  je wewe ni mtengenezaji? msambazaji au unahusika vipi? Hii itatoa mwanga zaidi iwapo kuna maswali zaidi ambayo ningependa kuuliza
   
 4. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,001
  Likes Received: 2,617
  Trophy Points: 280
  Tangaza vizuri wewe,mbona unatangaza kama vile ambaye unaogopa kitu fulani au huna uhakika na hiyo dawa yako?weka vitu clear na uwe tayari kutoa ufafanuzi wa utabibu wako pale inapohitajika.:A S shade:
   
Loading...