Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,091
- 29,708
- Thread starter
- #21
Alisema maneno ya hovyo akiwa Kaimu Waziri wz Afya.Ni waziri wa Fedha Zanzibar
Alisema maneno ya hovyo akiwa Kaimu Waziri wz Afya.Ni waziri wa Fedha Zanzibar
Huyo huwa anapiga vita sana watanganyika wazi wazi. Hatupendi na hata ingekuwa ni amri yake, angefurahi sote Watanganyika tungekufilia mbali. Ndiyo maana Omari Yusufu Mzee alimbwaga na meno yake.Alisema maneno ya hovyo akiwa Kaimu Waziri wz Afya.
Na wengi wao wana vitambulisho vya mzanzibari.Watanganyika wanaoishi Zanzibar, ambao ndio wanahitaji matibabu huko, nadhani hawafiki hata laki moja!
Utter nonsense. Hakuna Mtanganyika anayefunga safari kwenda kutibiwa Zanzibar. Watanganyika wanaoishi Zanzibar, ambao ndio wanahitaji matibabu huko, nadhani hawafiki hata laki moja!
Raia wa Tanzania ana haki ya kuishi popote ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwahiyo, Mtanganyika aliyeamua kuishi Zanzibar, huko ndiko kwake. Kama utaratibu wa huko ni matibabu bure, basi ana haki ya kutibiwa bure.suala ni kuwa, kwanini watibiwe bure? wakati hapa kwao Tanganyika hawatibiwi bure?
Kwani wizara ya fedha ipo kwenye muungano!View attachment 3609780
Dr Saada Mkuya Salum, aliteuliwa na Rais Jakaya Kikwete mwaka 2012 kuwa Naibu Waziri wa Fedha katika serikali yake, na baadaye alipofariki Waziri wa Fedha William Mgimwa 2014, akachukua nafasi ya Waziri wa Fedha , Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Sasa hivi Dr Saada Mkuya ni Kaimu Waziri wa Afya serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Hapa pamoja na ukweli kuwa mwanasiasa hawezi kukaa kiti kimoja kimadaraka lakini hii nia serious step down kwa mtu aliyehudumu nafasi sensitive ya serikali Ya Muungano.
Matamshi aliyotoa hivi karibuni kuwa Zazibar haiwezi kuwatibu watu milioni 60, it doesn't reflect u "Dr " wake.
Kwanza tujiulize kama kuna waTanganyika hata milioni moja waliowahi kwenda kutibiwa Zanzibar.
Hapo ndio unajiuliza, hivi kukaa kote kule serikali ya Muungano kama Naibu Waziri wa Fedha halafu kuja kuwa Waziri kamili hakujamstaarabisha?
Mtu kuongea kama ana kadegree ka Madrassa kuna tutia hofu, uness kuna mpango maaluma toka serikali ya Zanzibar.
Raia wa Tanzania ana haki ya kuishi popote ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwahiyo, Mtanganyika aliyeamua kuishi Zanzibar, huko ndiko kwake. Kama utaratibu wa huko ni matibabu bure, basi ana haki ya kutibiwa bure.
Hatukutegemea msomi aegemee arguments za wazanzibari wasioenda shule!Ameyatimba sana mkuya miwani km sufuria
Huwa unasoma Katiba ya JMT? Soma Ibara ya 17.Kuna kanuni au sheria yoyote inayosapoti hayo unayoyazungumza? au ni emotions tu kama ilivyo kwa wabongo wengi
Mtu mwenye chuki moyoni kama Saada Mkuya, maanagamizi yake huyatayarisha mwenyewe. Watanganyika tumemsikia vizuri,Huyo huwa anapiga vita sana watanganyika wazi wazi. Hatupendi na hata ingekuwa ni amri yake, angefurahi sote Watanganyika tungekufilia mbali. Ndiyo maana Omari Yusufu Mzee alimbwaga na meno yake.
Umwinyi wa kutaka kufanyiwa kila kitu unawasumbua wazenj wengi.Vitu viwili vinavyomfanya mtu akose akili ni kuwa muislamu na kuwa mzanzibar
Nani kaenda kuomba matibabu ya bure Mchambawima?Sada mkuya yuko sahihi bajeti ya trilioni 8.8 haiwezi kutibu watu milioni 60
Ndio maana nasema huyu Saada Mkuya anatawaliwa na chuki kiasi kwamba natilia mashaka hata u"Dr" wake.Nani kaenda kuomba matibabu ya bure Mchambawima?
Watu milioni sitini wakitua Unguja kisiwa kitazama baharini we punguani.