Saa zingine nampenda Magufuli

vulcan

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,742
2,459
Huyu jamaa hapendi mchezo,
1.Anateuwa mtu mwingine wa kuifanya Kazi.
2.Anafuta wazembe - Kesho usionekane hapa
3.Unaambiwe ueleze vile pesa zilivyotumika
4.Halafu unaambiwa mungu akubariki

:D:D:D:D

Inamaana kwamba siku zingine huwa umemchukia? Kwanini sasa, inafaa tujikite kwenye kukashifu sera za mtu ila sio mtu binafsi. Kuna siku niliona JPM amemuumbua live madam flani hivi ambaye hakuwa hata anafahamu jumla ya hela ambazo zilikuwa zimekabidhiwa shirika lake, kutoka kwa serikali, wakati yeye ndio mwenyekiti wa shirika lenyewe. Jibu lake likawa, 'ningekuambia ila naogopa kusema kwasababu sina uhakika'. Seriously? Kwa kuhakikisha kwamba viongozi wanawajibika, hapo huwa nimempa JPM marks mia juu ya mia.
 
Nahisi thamani ya pesa yangu inashuka kila siku ingawa idadi huwa vile vile au nyingi zaidi ya vile. Ila tatizo thamani na kila ikinipotea basi inaniwia maumivu makubwa sana ku recover hasa kwenye utawala huu wa uncle magu
 
Tatizo hujakaa kwa kutulia na kumtafakari vizuri nyendo za huyu Rais wetu mpendwa, laiti ungetuliza akili ukamfatilia vizuri unaweza kumuita mwanao au mume wako Magufuli.
 
Huku kufuta na kuteua kupitia vyombo vya habari hadharani kihivi ndio napata matatizo naye, maana hapo anayesemwa hajapewa fursa aeleze kwanini mradi unachelewa, nimewahi kufanya miradi ya kiserikali, unacheleweshwa na kuwa frustrated kishenzi, halafu kiongozi mpenda sifa za media anaweza akakakuibukia na wana habari huku akifoka foka bila kutaka kuskliza sababu zako.
Magu hafanyi uchunguzi wa kindani kabla kusema sema, juzi niliona anamkashifu mkuu fulani wa polisi anayeitwa Mambosasa kutokana na utekwaji nyara wa yule bilionea, alikua anahoji na kutuhumu kisa hajaona mtu akipelekwa mahakamani, baadaye huyo Mambosasa alihojiwa na wanahabari na nikaona anatoa majibu ya kueleweka sana, nikashangaa ikawaje rais amkashifu hadharani bila kufanya uchunguzi wake kwanza, hana washauri? Au hawasklizi?
 
Mlevi uhuru yupo matembezi ulaya, ghafla nastukia hela za ujenzi wa mabawa zimeliwa..Alafu unaona mijinga ikimsifia hapa..Wajinga kweli ni wengi
Mfumo wa utawala wa Kenya ni tofauti kwa mtu makini, chini ya katiba mpya ya Kenya 2010, madaraka ya rais yalipunguzwa kwa kiasi kikubwa. Kisha yakasambazwa kwenye taasisi husika k.m. mahakama, bunge, EACC, DCI. Ndio maana anachofanya Magufuli, kuteua na kufutana kazi 'at will' ikifanyika Kenya itakua inakiuka katiba. Jukumu la rais nikuwezesha taasisi kama hizo na miongo mitatu ya serikali. Kwa hilo ameweza na ufisadi ukipigwa vita kwa njia ambazo zinaheshimu katiba basi kutakuwa na mafanikio makubwa, hapo baadaye.
 
Huku kufuta na kuteua kupitia vyombo vya habari hadharani kihivi ndio napata matatizo naye, maana hapo anayesemwa hajapewa fursa aeleze kwanini mradi unachelewa, nimewahi kufanya miradi ya kiserikali, unacheleweshwa na kuwa frustrated kishenzi, halafu kiongozi mpenda sifa za media anaweza akakakuibukia na wana habari huku akifoka foka bila kutaka kuskliza sababu zako.
Magu hafanyi uchunguzi wa kindani kabla kusema sema, juzi niliona anamkashifu mkuu fulani wa polisi anayeitwa Mambosasa kutokana na utekwaji nyara wa yule bilionea, alikua anahoji na kutuhumu kisa hajaona mtu akipelekwa mahakamani, baadaye huyo Mambosasa alihojiwa na wanahabari na nikaona anatoa majibu ya kueleweka sana, nikashangaa ikawaje rais amkashifu hadharani bila kufanya uchunguzi wake kwanza, hana washauri? Au hawasklizi?
Ukiona ameenda hapo ujue ana intel zote.
 
Huyu jamaa hapendi mchezo,
1.Anateuwa mtu mwingine wa kuifanya Kazi.
2.Anafuta wazembe - Kesho usionekane hapa
3.Unaambiwe ueleze vile pesa zilivyotumika
4.Halafu unaambiwa mungu akubariki

:D:D:D:D

Huyu jamaa ukiacha kasoro ndogo ndogo za kukandamiza uhuru wa kuongea hakuna mfano wake katika nchi za dunia ya tatu. Binafsi namkubali sana na huwa namuwekaga kwenye nia za misa kila j2.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Mfumo wa utawala wa Kenya ni tofauti kwa mtu makini, chini ya katiba mpya ya Kenya 2010, madaraka ya rais yalipunguzwa kwa kiasi kikubwa. Kisha yakasambazwa kwenye taasisi husika k.m. mahakama, bunge, EACC, DCI. Ndio maana anachofanya Magufuli, kuteua na kufutana kazi 'at will' ikifanyika Kenya itakua inakiuka katiba. Jukumu la rais nikuwezesha taasisi kama hizo na miongo mitatu ya serikali. Kwa hilo ameweza na ufisadi ukipigwa vita kwa njia ambazo zinaheshimu katiba basi kutakuwa na mafanikio makubwa, hapo baadaye.
Hahahahahah, haya ni Maneno ya kushindwa na kukata tamaa, au kutaka kuhalalisha uzembe na kushindwa kwa Uhuru Kenyatta na serikali yake katika kupambana na rushwa na kusimamia rasilimali za nchi.

Kuna wakati Uhuru Kenyatta alisema hawezi kupambana na rushwa kwasababu katiba haimruhusu, hivi kweli katiba inamkataza asiwabadilishe au kuwafuta kazi watumishi aliowateuwa mwenyewe pale wanapotuhumiwa kula rushwa au kushindwa kufanya kazi vizuri,mbona juzi alimfuta kazi CS wa sports, Mbona hakusingizia katiba, au alitumia katiba ipi?, acheni kutetea uzembe na udhahifu wa rais wenu, Wakenya wengi wanekiri kwamba Uhuru hawezi kupambana na ufisadi, acha kusingizia katiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko vizuri sana , ila tatizo liko hapo kwenye uwiano wa bei ya mbolea na bei ya mahindi .
 
Mfumo wa utawala wa Kenya ni tofauti kwa mtu makini, chini ya katiba mpya ya Kenya 2010, madaraka ya rais yalipunguzwa kwa kiasi kikubwa. Kisha yakasambazwa kwenye taasisi husika k.m. mahakama, bunge, EACC, DCI. Ndio maana anachofanya Magufuli, kuteua na kufutana kazi 'at will' ikifanyika Kenya itakua inakiuka katiba. Jukumu la rais nikuwezesha taasisi kama hizo na miongo mitatu ya serikali. Kwa hilo ameweza na ufisadi ukipigwa vita kwa njia ambazo zinaheshimu katiba basi kutakuwa na mafanikio makubwa, hapo baadaye.
Katiba ya kenya inampa Rais uwezo wa kuteuawa na kufuta wakungezi wa idara za serikali kwa hiari yake. Lakini mlevi uhuru yupo bize kudara dara wasichana watangazaji wa CNN mara anashtukia pesa za nchi zimeliwa kama yupo kileleni karibu azimwage😂😂😂😂
Useless guy
 
Hahahahahah, haya ni Maneno ya kushindwa na kukata tamaa, au kutaka kuhalalisha uzembe na kushindwa kwa Uhuru Kenyatta na serikali yake katika kupambana na rushwa na kusimamia rasilimali za nchi.

Kuna wakati Uhuru Kenyatta alisema hawezi kupambana na rushwa kwasababu katiba haimruhusu, hivi kweli katiba inamkataza asiwabadilishe au kuwafuta kazi. Jamii Forums mobile app
Eti kukata tamaa, wewe unajua kinachoendelea sasa hivi kuhisiana na vita dhidi ya ufisadi? Mbona hivi majuzi mawaziri kadhaa wamekuwa summoned na DPP na DCI? Tena wakaketi mbele yao na kujibu maswali huku wakijetetea wakiwa wametokwa na kijasho? Hakuna wakati ambapo vita dhidi ya ufisadi umetekelezwa kwa nia na kujitolea kama sasa hivi. DPP Noordin Haji, DCI Kinoti na AG Kariuki wameliamsha na kitaeleweka. Kwani Echesa alifutwa kazi kwanini? Taasisi mbali mbali ikiwepo mahakama zimekomaa na kuimarika. Hatutegemei mtu mmoja.
 
Katiba ya kenya inampa Rais uwezo wa kuteuawa na kufuta wakungezi wa idara za serikali kwa hiari yake. Lakini mlevi uhuru yupo bize kudara dara wasichana watangazaji wa CNN mara anashtukia pesa za nchi zimeliwa kama yupo kileleni karibu azimwage
Hehehe! :D Ndio maana thamani ya shilingi inaimarika kila uchao. Viashiria vinaonesha 'Investor confidence', 'ease of doing business' na vitu kama hivyo vinazidi kuboreka. Ugatuzi unaonesha matunda yake na marais na wawekezaji wa nchi za nje wanatiririka Kenya kila uchao. Miundu mbinu inaimarishwa. Haya yote chini ya tishio la ugaidi. Kweli rais U.K. amefeli.
 
Katiba ya kenya inampa Rais uwezo wa kuteuawa na kufuta wakungezi wa idara za serikali kwa hiari yake. Lakini mlevi uhuru yupo bize kudara dara wasichana watangazaji wa CNN mara anashtukia pesa za nchi zimeliwa kama yupo kileleni karibu azimwage😂😂😂😂
Useless guy
Hahahha HEAVY
 
Back
Top Bottom