Saa za kufungua na kufunga bar na "grocery" za bia mitaanai

terabojo

JF-Expert Member
Aug 3, 2010
215
45
Wana JF. uelewa wangu mdogowa sheria ni kwamba bara zinatakiwa kufungwa saa 5 na grocery haziruhusiwi kuuza bia na badala yake zipo kumuwezesha muhitaji wa bia/vinywaji anunue na kupeleka hivyo vinywaji say nyumbani kwake. leo hii bar na grocery nyingi hapa Dar zinafunguliwa na kuuza bia/ulevi tangu asubuhi had asubuhi. ushahidi mwepesi ni pale katribnu na ofisi ya TRA mbagala rangi #. Suali ni je kama uelewa wangu wa sheri ni sahihi au unakaribia na usahihi kwa nini jeshi la polisi linaruhusu hali hii kuendelea? Au ni kwa vile patrol teaqms zao ktk landrover wanahongwa mabia/pesa na wamiliki wa bar/grocery hizo. Binafsi naomba IGP alifanyie kazi hili kwani tutaondiokana na kero na ujambazi kwani majambazimengi yanajificha ktk bar/grosari hizo kabla au baada ya kufanya uhalifu. Mwana JF anayeweza kufikisha ujumbe kwa IGP au wasaidizi wake wakuu asaidie, pamoja na kujadili.:attention:
 
Udhaifu upo kwenye halmashauri zetu ambapo kuna maafisa biashara wa kukagua biashara hizo na polisi wenye vyeo vya ukaguzi sheria inawapa uwezo wa kufanya ukaguzi . Kwahiyo kama haifanyiki ni uzembe niliowataja hapo juu.
 
sasa hapa ndipo tunapoharibiana starehe........bar ifunge saa nne nikalale....?.....hizi ndio chuki binafsi......
 
Udhaifu upo kwenye halmashauri zetu ambapo kuna maafisa biashara wa kukagua biashara hizo na polisi wenye vyeo vya ukaguzi sheria inawapa uwezo wa kufanya ukaguzi . Kwahiyo kama haifanyiki ni uzembe niliowataja hapo juu.

kwa hiyo hizi mbili ni ID zako......?
 
Back
Top Bottom