Saa ya ukombozi Tanzania ni sasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saa ya ukombozi Tanzania ni sasa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shansila, Feb 7, 2012.

 1. S

  Shansila Senior Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu hawezi kushuka na kusema nasi katika hali ya mwili!Mungu husema na wanadamu kwa njia mbalimbali!Mungu anasema na watanzania kupitia mgomo wa madaktari unaozidi kuwa na sura mpya kila siku nchini huku ukiendelea kugharimu maisha ya watz wanaougua kwa sasa.

  Tunaweza kusema vyovyote,lakini hakuna ajuaye lini atakuwa mgonjwa na endapo atapata matibabu!Tuache ushabiki wa kisiasa,tuwaunge mkono madaktari tuikomboe Tza.Tunawezaje kuongopewa kirahisi kuwa serikali haina hela?

  Kama hakuna hela,maazimisho ya miaka 50 ya uhuru & 35 ya CCM yangekwama,safari za nje za viongozi zingepungua!Tunawezaje kudanganywa kuwa nchi haina hela wakati Wazungu wametapakaa nchi nzima kupora madini mfano gas,almasi,dhahabu,uranium,mafuta n.k?

  Wengine wamenunua mbuga zetu za wanyama na kupora rasilimali zetu kama vile hatupo?Kama watz tutasema imetosha na iwe hivyo sasa!
   
 2. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kweli umenena mkuu.
  Ondoa alama ya kuuliza ili 'uzi' wako ulete maana.
   
 3. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  nani anauza a.k.a 47 ili nkuunge mkono?
   
 4. S

  Shansila Senior Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka Kamugisha,niunge mkono,lkn nakusihi tusimwage damu,tushawishi strike ya nchi nzima na isiyokoma mpaka tumtoe mkoloni.
   
 5. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  taratibuuuuu mapinduzi yatafanyika
   
 6. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Mods hawakawii kufuta huu 'uzi'!!!
   
 7. pepim

  pepim JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Maumivu ya kichwa huanza polepole,mwisho utasikia maumivu makali kupita kiasi........Hivi hii ina viongozi kweli?Hata mkuu wa kaya kauchuna 2...Hv kulikuwa na raha gani kutumia gharama kwa maadhimisho ya chama wakati madaktari hali ni tete?Ama kweli hii ni nchi iliyo chini mfalme ****.
   
 8. B

  Bwanamdogo Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika saa ya ukombozi ni sasa na bahati haiji mara mbili jamaa wametuanzishia ni juu yetu kuamua nasi kuwaunga mkono hata kama ni kwa kuingia barabarani labda ndo mwenye nyumba atavunja ukimya
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kauli kama hii title yako ilitolewa miaka mingi iliyopita na wenzako wanaojiita wakongwe wa siasa na watanganyika halisi lakini hadi leo haijafanya kazi.
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Huna kumbukumbu sahihi, kauli hii ilikuwepo miaka mingi sana na migomo imekuwepo mingi tu lakini hakuna hata mmoja ulioonekana kuwa chanzo cha ukombozi unaousema
   
 11. HAMIS MOHAMED

  HAMIS MOHAMED JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  apo umenena tz imelala 2amke!
   
 12. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Mungu hajaagiza muitafute haki kwa uasi ila kwakuomba kupitia Jina lamwanae Kristo Yesu tutapewa chocote tutaka
   
 13. S

  Shansila Senior Member

  #13
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The dirty paka,hujitambui,umezimia ila unadhani mzima.
   
Loading...