Saa nyingine utendaji wa Jeshi la Polisi Tanzania unachekesha jamani

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,492
2,000
Sijaelewa kabisa,

Yani mwanamama kaibiwa mtoto, baada ya kuibiwa mtoto hatujaambiwa kama baada ya kuibiwa alienda fungua jarada lenye no fulani pale kituo cha Geita.

Baada kwenye habari tunaambiwa wazazi wa mtoto kesho yake waliamkia stendi ya mabasi wakitegemea kuwa watampata mhusika yaani mwizi.

Kweli wakampata na mtoto wao akiwa mzima

Jeshi la Polisi wanajitokeza na kuonesha kuwa uchunguzi unaendelea, hii inaamanisha ya kuwa wazazi wasingeamkia stendi basi mtoto hasionekana sasa hiki ni kitu gani?

Jana nilikuwa pahala fulani nikasikia malalamiko ya hawa watendaji hasa mkoa wa Mwanza yani polisi wanakula rushwa ni hatari sanaa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom