INAUZWA Saa aina ya seiko inauzwa Tsh 250,000 /=

Van claude

Member
Jan 9, 2015
53
12
Saa aina ya seiko inauzwa Tsh 250,000 /=

Sifa za saa

1: Haipauki.

2: Hairuhusu kuingia kwa maji.

3: Inadumu muda mrefu.

4: Automatic mechanism, kwa maana ya kwamba haitumii betri.

5: Inaonyesha Saa, Tarehe na mwezi.

Kwa mawasiliano ya simu 0628778657 nyote mnakaribishwa

IMG_20201126_160204.jpg

View attachment 1635428
View attachment 1635436
 
Duuuh kuna mengi sana bado siyajui kumbe kuna saa huwa hazitumii kabisa betri. Sasa mfumo upi unaziwezesha kufanya kazi?
 
Back
Top Bottom