Saa 6 zimepita video ya salute ya Kiba haijatimba top 10 ya YouTube trending, je haina vibe?

baadhi yetu tulikuwa na matumaini makubwa juu ya video hii kuleta tikisiko na tetemeko huko youtube ila naona masaa 6 yamepita sasa videi haipi hata kumi bora huko youtube.

upande wa simba yule anaembiwa atulize mzuka ili na wengine wapate ahueni mbugani naona simba amekataa ushauri, video tatu zinaoongoza trending zote ni kazi zake, wengine watatalii vipi mbugani kwa hali hii?,😂
Masaa 23 in a 1 mil views hapo vipi...husikii kuwashwa mahali?
 
Mkuu umesoma maada lakini?? video imekaa masaa sita bile kuwemo kwenye trending hii sio kawaida kwa kiba, imeanza kutrend. baada ya masaa sita, hizo views milioni kuna msanii yupo hapa hapa bongo ngoma zake zimepata ndani ya masaa machache tu
 
Dogo tafuta pesa utaishia kuangalia viwaz yutubu hadi mvi zikujae kichwani
 
Mkuu umesoma maada lakini?? video imekaa masaa sita bile kuwemo kwenye trending hii sio kawaida kwa kiba, imeanza kutrend. baada ya masaa sita, hizo views milioni kuna msanii yupo hapa hapa bongo ngoma zake zimepata ndani ya masaa machache tu
Nlikuwa nakukumbusha tu kwamba hiyo video unayoisema haijatrend kwa masaa 6 mie reach 1 mil views before a day, kuna tabu?
 
Kavaa magwanda ya jeshi halafu hayajampendeza,aliyependeza ni aliyeshirikishwa sasa unategemea nini?
 
Chawa wa domokaya maumivu ya kukosa tuzo, wanahamishia kwenye viewers youtube, .
Si wangefanikisha mbebe tuzo mseeeew.
 
Back
Top Bottom