Saa 5:39 Asubuhi. Bunge linaendelea likiwa na Wabunge 23 tu.

Wabunge 23 wa CCM waliomo bungeni nao wawafuate wa upinzani kama walivyofanya juzi. Hamad aliomba shughuli za bunge ziahirishwe spika akakataa bila hata kuhoji wabunge; wabunge wa upinzani wakatoka... CCM wakabaki wachache; ikabidi waombe bunge liahirishwe.
 
hili jambo lipo mahakamani hivyo alipaswi kujadiliwa na kufanya hivyo tutakuwa tunaingilia muhimili mwingine.
 
BUNGE LIKO MAHAKAMANI HAMrUHUSIWI KULIJADILI HAPA MPAKa mahakama YA DHAIFU IAMUE LIWALO NA LIWE
 
Very bad,hlf wakati wa kuipitisha bajeti,utasikia ndiyo nyingi wkt hata hawajui nini kimezungumzwa!
ni hatari sana hii kwa mtu anaejiita mh mbunge, anaejifanya mwakilishi wa jimbo alafu anakubali kila kitu, baadae anaomba kuchangia mwanzo mwisho analalamikia matatizo ya jimbo, nadhani wanajua wa tz WAJINGA
 
Ni kweli sisi ni wajinga.Tunatakiwa tuwanyime kura msimu ujao
 
Back
Top Bottom