Saa 10 kamili: mwisho wa uchaguzi 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saa 10 kamili: mwisho wa uchaguzi 2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by fangfangjt, Oct 31, 2010.

 1. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  Saa 10 kamili- mwisho wa uchaguzi 2010. Tusubiri wamalizie walio kwenye mstari, wahesabu kura zetu na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atangazwe!
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Saa kumi kasoro 5 katika mahojiano kuhusu kituo Ukonga Mzambarauni, msimamizi wa uchaguzi wa kituo hicho alisema kwamba kati ya watu takrinan 4,000 waliokwisha piga kura hadi wakati huo ni kama 200 tu!

  Inatisha hii -- kuina mawli hapa:

  1. Majina hawakuyaona

  2. Kituo kilijazwa majina hewa ili baada ya saa hiyo kura feki ziingizwe.

  Nina wasiwasi na hili la pili, kwa hiyo naomba vyama husika waangalie matokeo yataonyesha jumla ya wangapi walipiga kura katika kituo hicho.

  Nahabarisha.
   
 3. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Thanx mkuu tupo macho leo,maana hata mimi toka jana nimesikia watu wanalalamika majina yao hawajayaona...so tuwe makini
   
 4. r

  rastman New Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio kuweni macho jamani. tunawategemea nyie mliko huko bongo
  fanyeni maamuzi yenye mafanikio kwetu na vizazi vyetu ktk kipindi hiki cha miaka 5
   
Loading...