S 400 ya urusi na IRONE DOME ya Israel

Kwa jinsi mambo yanavyoendelea kuumana huko kwa mahasimu wawili Israel vs Palestine natamani nijue ipi security system bora dhidi ya mashambulizi ya angani kwa wajuzi wa mambo?
Iron Dome ni bora sana mkuu, yaani HAMAS wamerusha zaidi ya kombora 1,500 lakini zote zimekuwa intercepted na Iron Dome,kilichoangukia Israel ni mabaki ya Rockets za HAMAS lakini si makombora yao
 
S 400
S ni herufi ya 23 katika muundo wa alfabeti,Hii inamaana ya kuwa S 400,inaweza kufanya kazi tofauti 23 kwa wakati mmoja.
400 ni umbali ambao makombora yote yenye ukubwa kuanzia mpira wa gofu yanaweza kutunguliwa.Zaidi ya hilo,kuna umbali wa ziada wa km 250,katika umbali huu makombola ya adui hufanyiwa jamming,kuhakiwa au kuvurugwa mifimo yake bila kufunguliwa,sasa kombola likikoswa ndani ya kilomita hizo 250 za kwanza,ndo huja kutunguliwa ndani ya km 400 hizo nyingine.Kwa maana hii S 400 hufanya kazi ndani ya KM 650.Ndio maana S 400 ilipofungwa Siria kipindi flani,ilitengeneza "NO FLY ZONE" katika nchi tano zilizipo karibu na Siria ukijumlisha na Israel ( Hakuna kitu chochote ambacho kiliweza kuruka katika nchi hizo tano bila ya kufumuliwa)
Hii Iron Dome,inaonekana ni bora kwa sababu Israel inapigana na HAMAS( Kikundi kidogo tu) lakini kwenye vita kamili au vita na mataifa ya kibabe, Iron Dome haiwezi kuwa na ufanisi wa kutisha.
 
Iron dome ufanisi wake ni kwa roketi za masafa mafupi.

Mwaka 2006 vita baina ya Hizbullah na Israel takribani roketi 4000 za masafa mafupi yalirushwa na Hizbullah na kuleta madhara makubwa Israel.

Mwaka 2000 na 2008 zaidi ya 4000 mortars na roketi 4000 zilirushwa kutokea Gaza kuelekea Israel ndiyo ikapelekea kuundwa Iron Dome ambayo range yake ni 70km.

Huwezi ukapima ufanisi wake kwa vikombora dhaifu vinavyorushwa na HAMAS. Ufanisi wake utapimwa kwenye vita kamili.

Kwa ufupi Iron Dome ni kwa ajili ya wanamgambo wa HAMAS na Hizbullah.

S-400 ni ya masafa marefu. Ina locate tageti kwa umbali wa km 600 na ikaiharibu kwa umbali wa km 400.

S-400 inapambana na tageti 72 kwa wakati mmoja na kutrack tageti 160 kwa wakati huo huo.

Inashambulia aina zote za aerial target ikijumuisha aircraft, ballistic na cruise missile kwa range ya km 400...... Nitaishia hapa!

Kwa ufupi S-400 ni kwa ajili ya silaha za kisasa tishio.

Ijapokuwa kazi zake ni tofauti ila S-400 ni bora zaidi ya Iron Dome.
 
Nimeelewa hii kubwa sana shukrani
 
Ndiyo maana alimpiga vita uturuki kununua S 400 kumbe wanazijua balaa lake huko siria nasikia ilikuwa hakikatizi kitu
 
Iron Dome ni bora sana mkuu, yaani HAMAS wamerusha zaidi ya kombora 1,500 lakini zote zimekuwa intercepted na Iron Dome,kilichoangukia Israel ni mabaki ya Rockets za HAMAS lakini si makombora yao

Kipande cha gazeti la New York Times.

Screenshot_2021-05-15-22-15-45-643_org.mozilla.firefox.jpg
 
Umerogwa ww Sio bure ,Iron dome inapga mpaka ndege za UAV fuatilia vizuri mkuu Kama hujui kitu uwe unakaa kimya
S-400 inapambana na UAV (unmanned aerial vehicle) ambazo ni hatari. Iron Dome haifanyi hiyo kazi.
 
Ukisoma taarifa mbalimbali za military intelligence wanakiri hakuna mfumo wa kupambanana S400 au S500.

Na marekani na baadhi ya washirika wake wanaogopa Sana uwepo wa mfumo huo ndani ya ulayahasa NATO maana unaexpose baadhi ya mapungufu ya mifumo yao.

Tofauti na mfumo unavyofamya kazi hata makombora yanayotumiwa na mifumo hiyo nayo no hatari.
 
Back
Top Bottom