lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,147
- 33,302
Ni kweli kabisa unavyosema ndugu "Kinda La Kuku" wadau wengi ni ubishi tu pasipo kuangalia hali halisi.90%ya warusi, wairan, waisrael, waMarekani na wasyria wa humu jf ni walopokaji sio watu wa details..... Unajua hakuna kitu kizuri kama details na sio kukariri.... Mtu anatoa story yake kwenye kahawa analeta hapa na anabishana kana kwamba wakati Russia au Marekani wanapanga bajeti ya jeshi alikuwepo... Watu kama sisi kwenye midahalo mikubwa kama hii tunawahi siti za mbele tunakuwa wasikilizaji