Rwegasira akanusha kujitoa kugombea ubunge nkenge (video) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rwegasira akanusha kujitoa kugombea ubunge nkenge (video)

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mchonga, Sep 24, 2010.

 1. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  mchonga. Asante kwa kutuwekea video hii. Imekata mzizi wa fitina. Chadeeeeeeeeeeeeeeeeeemaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #3
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duh! CCM ZAIDI WAMEISHIWA NA MIKAKATI MPAKA WAMEFIKIA HIZI SIASA ZA AINA HII! AAH..............DUH....................HII INATISHIA AMANI NA USALAMA WA KURA ZETU HAPO OCT 31ST 2010, KURA ZETU KWA DR SLAA ZITASALIMIKA KWELI NAONA MAFISI WA CCM MATE YANAWADONDOKA WANAFATILIA MKONO WA BINADAMU ALIE HAI KWANI WANADHANI UTADONDOKA WAUTAFUNE!

  SINA AMANI JAMANI KWA STAILI HII, CHADEMA ORGANIZATION YA NCHI NZIMA NA VITUO VYOTE KULINDA KURA JAMANI IKOJE? HILO NDO SWALA LA MSINGI
   
 4. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu asante kwa habari hii,..Imetuliza hali ya hewa iliyokuwa imechafuka juzi baada ya habari hizi za kujitoa kutangazwa hapa JF.
  Tunamwomba yule aliyesema Rwega alikabidhi barua ya kujiondoa kwa mkurugenzi wa wilaya alete copy ya hiyo barua aliyodai kuiona
   
 5. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kwani kujioa kwake ulikuwa mkakati wa thithiemu?
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa inaonekana massive anayo sanaaa, yaani akiongea tu wananchi wote wanamuwakia vifijo, anaonekana ana connection na constituency yake. Ningependa kujua zaidi kuhusu huyu mgombea na nafasi realistic alizonazo. Anaongea kama mbunge anaye face allegations katika "House of Commons", wekeni video yote tumuone zaidi.

  Anakwambia "Itifaki Imezingatiwa" kanifurahisha sana na usemi huu tata !

  Watu tuna interest kuwajua wagombea wa upinzani wenye mvuto zaidi, sio kina Regia Mtema tu.
   
 7. M

  Mutu JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndugu nadhani you miss this lady a lot
   
 8. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Not as much as she misses the opportunity at a detailed constructive criticism.
   
 9. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haya tena gazeti lenu la serikali hilo!!!!!!!!!!!


  THE parliamentary candidate for Nkenge constituency in Kagera region on Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mr Focus Rwegasira, has pulled out of the election race.
  The Supervisor of elections in Nkenge constituency, Mr Izidore Mtalo, told reporters that Mr Rwegasira had decided to pull out on his own, without giving further details.

  Following the decision, two candidates now remain in the race in Nkenge constituency. They include Ms Asumpta Mshama (CCM) and Alhaj Amri Sadick (CUF).

  Meanwhile, the Parliamentary candidate in Bukoba Urban constituency on a Civic United Front (CUF) ticket, Mr Christian Kasimbazi, has prioritised education and health as burning issues he would address if he is elected MP.

  Mr Kasimbazi made the pledge when addressing a campaign meeting at Nyamkazi area, in Miembeni Ward on Wednesday afternoon. He said CUF was committed to revamping the education sector by improving teaching environment and providing incentives to teachers.

  “We have set aside enough funds to construct teachers’ houses. CUF would also ensure that teachers in the country are paid good salaries to enable them work in a conducive environment,” he said.

  Mr Kasimbazi, who is himself a long-serving teacher, said he understands problems facing them and would assist in finding a lasting solution.

   
 10. E

  Edu Member

  #10
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Though reluctantly, I think I need to comment again Daily News!!!!

  Jamani this is unbearable attitude by Gov media, shameless and unspoken one. I wonder what it takes to bring necessary corrective measures (i mean in the short run). I believe the Gov organs need to act impartially especially on the political issues, yaani it has reached a time we cannot draw a line between political parties tabloids and Gov news paper. How many times we the people of this country will suffer for the benefits of few lavish and heartless individuals. Daily news is entrusted with authority and capacity to inform the general public without taking sides, funny enough it's editors are seemed to be working from CCM offices.

  Well, it's only the question of time the rule of law will take its toll and we the oppressed will see the perpetrators get rewarded in full.
   
 11. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kama ilivyokuwa kwenye uongozi wa CCM, kwenye hili pia ni uongozi wa Daily News umeharibu hadhi ya gazeti hili kwa kiwango kikubwa sana.
   
 12. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  i am sick
   
 13. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Si tu gazeti la daily news, ni vyombo vya habari vya serikali vyote ni hovyo. Sikiamini hata chombo kimoja cha habari cha serikali, si gazeti la habari leo, si TV, si Redio wote lao moja tu kuipigia debe CCM. Ni vizuri ikumbukwe kwamba chanzo kikubwa cha machafuko huko Rwanda ilikuwa ni vyombo vya habari vya hovyo kama hivi ambavyo vinaamua kwa makusudi kupotosha au kulibeba kundi fulani na kulikandamiza lingine kana kwamba hao wanaokandamizwa si watanzania. Hasira za hawa wanaokandamizwa ndiyo itakayoiingiza nchi katika machafuko. Ni vizuri Kikwete akachukua hatua dhidi ya gazeti hili ili kujiepusha na uwezekano wa kutengeneza historia mbaya ya kuvunja amani ya nchi hii iliyoasisiwa kwa gharama kubwa na wazee wetu.
   
 14. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hilo gazeti linasurvive mainly kwa sababu ya matangazo ya serikali, otherwise lingekuwa ICU siku nyingi kama yale magazeti ya Hbari Corp.
   
 15. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2010
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,723
  Likes Received: 1,213
  Trophy Points: 280
  Inawezekana kabisa ni lifisadi flani kutoka CCM limeweka makalio yake kwenye kiti cha mhariri wa Daily News na kuandika huo uzushi.

  Pumbavu zenu Daily News!
   
 16. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  vyombo vya habari vimeamua kuwasaliti watz kwa fedha za epa ambazo ccm waliiba kwa hiyo wamekubali kununuliwa kirahisi hivyo....................
   
 17. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Tumeshachoka story zako za Regia. Peleka tofauti zako kwa wazazi wake kama wamtaka.
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Wewe na jeshi gani?
   
 19. k

  kijukuu kindo Member

  #19
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wajameni hawa waandishi wanasahau kuwa wao ni professionals hivyo wanapaswa kuwa makini esp wakati huu wa kuelekea uchaguzi ambapo watumishi wa umma hawapaswi kuwa bias wanapokuwa ktk ofisi zao. Otherwise nao waanze siasa tuelewe moja. Naungana na Wakubwa wa Chadema waliomtaka huyu mhariri fisadi atimuliwe..... it is unbearable and it is enough.
   
 20. k

  kijukuu kindo Member

  #20
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ebwanaaaeeee, huyu jamaa aliyeleta hiyo taarifa hapa jukwaani kama akishindwa kuthibitisha kwa kuletea viambatisho vya kutosha, ajiuzulu na ikiwezekana asimamishwe uwanachama kwa muda ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia za kukurupuka na kuudanganya umma wa Great Thinkers.
   
Loading...