Rwanda's fury over Hollande's 'patronising stance'

jMali

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
8,379
4,899
View attachment 209602
Rwanda's Foreign Affairs minister Louise Mushikiwabo.

Comments by French President François Hollande warning of citizen revolutions against African leaders who overstay in power provoked a bitter reaction from Rwanda, with the country's Foreign Affairs Minister Louise Mushikiwabo accusing the French leader for lecturing his African counterparts rather than dialoguing on democracy.

Mrs Mushikiwabo, a vociferous critic of Paris, made the remarks during this week's 15th Francophonie Summit in Dakar, Senega, where she noted that France had chosen to lecture Africans on how to run their countries like a "parent shouting orders to his children".

While addressing the summit, Mr Hollande said that African leaders need to embrace democracy and avoid clinging onto power. He said African leaders need to be holding free and fair elections in their respective countries among other things, warning that the revolutions in countries like Tunisia and Burkina Faso should be a lesson to leaders who want to monopolise power.

Speaking to France 24 TV, Mrs Mushikiwabo hit back, saying that Mr Hollande's lectures were "inappropriate" and "patronising".

"It is inappropriate for the President to come for the Francophonie, not to have a dialogue with his fellow heads of state, but to give them orders on what to do in their respective countries. Something is not right here.
"Who decides the political future of Africans? I don't think it is Paris which makes such decisions for Africans, this should be clear.

The French President can give his opinion or advise, just like we can advise but to say 'I am here in Dakar to tell Africans that..' Is not right at all. This is 2014," Mrs Mushikiwabo said.

Term limits

Political observers say Mrs Mushikiwabo's remarks could be a warning to the French not to interfere in the events in Rwanda that will lead up to 2017, as the debate heats up on whether President Kagame should amend the constitution to remain in office or step down.

Rwanda is expected to be in the spotlight over the next two years as the world anxiously waits to see what will happen in the event President Paul Kagame decides to continue or step down.

In Kigali, the Democratic Green Party of Rwanda (DGPR), Rwanda's youngest opposition political party has, come out to say that it will not support any proposed plans to lift presidential term limits enshrined in the country's constitution.

With just over two years left for Rwanda to go to Presidential Polls in 2017, the debate as to whether the constitution will be amended to allow President Kagame another term in office remains discreet as the incumbent remains mum on whether he will go or stay.

Source: http://www.africareview.com/News/Rw.../2546708/-/format/xhtml/-/kj2pbv/-/index.html
 
Eh jMali umefufuka? Mi nilifikiri ule ushauri wangu umeutilia maanani! Kumbe bado ulikuwa bado unaskilizia zile za mbavu tulizokupa... Mbona unamnukuu dada yetu bila kumnukuu basha wako hollande?
Au ni zile njama zenu kama kawaida za kutaka tuonekane kama vile wehu? Nsha kuambia mara nyingi, serikali yetu ni kama nyingine zote ila hatupendi dhalau na hatupendi kujidhalaulisha, tena ukumbuke ya kwamba sio dada yetu peke yake aliyempa makavu hata Raisi mstaafu wa Burundi Buyoya naye alimpaka vilevile!
Yule jamaa wako anayetaka kuwarudisha na umaruhuni wenu alisema hivi
Nina mnukuu:
"Je suis venu à Dakar pour dire aux Africains"
Translation: "nimekuja Dakar(Senegal) kuwaambia waafrica"
What is your take on his choice of words? I need your answer before I go too far than what "our sister" did.
 
Mkuu waafrika waliozoea kutawaliwa from European capitals wataona majibu ya mushikiwabo kama ni jeuri...wale wanaotaka kujitawala watoana kama huyu mama kawasemea. Its up to you which one of the two you want to be. Life is about choices. You choose to be a mtumwa or independent, self-reliant etc.
 
Ahahahhha mzee wa sumu tema sumu tema sumuuuuu, Yaani wewe unaishi kwa hisia tu.....Pole sana.
Inaonekana huyu jmali anawagusa pabaya ehehehheheh.
Hiyo ndo hali halisi. we vumilia tu. Au njoo huku TZ tuku neutralize hiyo sumu yako inayokuchemka
 
Mkuu waafrika waliozoea kutawaliwa from European capitals wataona majibu ya mushikiwabo kama ni jeuri...wale wanaotaka kujitawala watoana kama huyu mama kawasemea. Its up to you which one of the two you want to be. Life is about choices. You choose to be a mtumwa or independent, self-reliant etc.

Hivi ka nchi ka rwanda kana watu wangapi? sidhani kama kana hadhi ya kuwa nchi.
 
Uzuri ni kuwa enlightened Rwandans and Burundians don't take nonsense from anyone particularly the French.

Hongera Hon. Louise and Maj. Buyoya. Sishangazwi na ujasiri wenu, it runs in your veins.
 
Eh jMali umefufuka? Mi nilifikiri ule ushauri wangu umeutilia maanani! Kumbe bado ulikuwa bado unaskilizia zile za mbavu tulizokupa... Mbona unamnukuu dada yetu bila kumnukuu basha wako hollande?
Au ni zile njama zenu kama kawaida za kutaka tuonekane kama vile wehu? Nsha kuambia mara nyingi, serikali yetu ni kama nyingine zote ila hatupendi dhalau na hatupendi kujidhalaulisha, tena ukumbuke ya kwamba sio dada yetu peke yake aliyempa makavu hata Raisi mstaafu wa Burundi Buyoya naye alimpaka vilevile!
Yule jamaa wako anayetaka kuwarudisha na umaruhuni wenu alisema hivi
Nina mnukuu:
"Je suis venu à Dakar pour dire aux Africains"
Translation: "nimekuja Dakar(Senegal) kuwaambia waafrica"
What is your take on his choice of words? I need your answer before I go too far than what "our sister" did.

Sikubaliani na alichokisema Presida wa Ufaransa lakini pia sikubaliani na propaganda zenu ndugu zangu wa Rwanda. Hashike tuvyemele khuko bili, umwanya wa kagame wurakwiye na gende neza abisire abandi abhashingantahe nabho tubarorere. Ngayo uragira umwami
 
Uzuri ni kuwa enlightened Rwandans and Burundians don't take nonsense from anyone particularly the French.

Hongera Hon. Louise and Maj. Buyoya. Sishangazwi na ujasiri wenu, it runs in your veins.

Maj. buyoya and Madam Louise shared the same interests, are inseparable hahahahhahah, ask m why will tell
 
We justdoitnow..nimekufuatilia mda mrefu nakuona kwamba wewe ni mshabiki wa jmali tu huna jipya.

We mwenye jipya tuambie kwanini baada ya kichapo cha JWTZ kwa M23 uchumi wa rwanda umedidimia mpaka sasa hivi watu wanapunguzwa kazi?
 
Sikubaliani na alichokisema Presida wa Ufaransa lakini pia sikubaliani na propaganda zenu ndugu zangu wa Rwanda. Hashike tuvyemele khuko bili, umwanya wa kagame wurakwiye na gende neza abisire abandi abhashingantahe nabho tubarorere. Ngayo uragira umwami

Duuu! mkuu ungetafsiri ili tukupate vizuri. Samahani lakini......
 
Uzuri ni kuwa enlightened Rwandans and Burundians don't take nonsense from anyone particularly the French.

Hongera Hon. Louise and Maj. Buyoya. Sishangazwi na ujasiri wenu, it runs in your veins.

We mtanzania koko bado hupo? ile ndude ya operasheni kimbunga haikukumba?
 
Maj. buyoya and Madam Louise shared the same interests, are inseparable hahahahhahah, ask m why will tell
Mkuu wewe uko sawasawa, nakubaliana na wewe maana japo ukweli ni kuwa waafrika hatutakiwa kupangiwa jinsi ya kijiongoza lakini pia viongozi wetu ni wabinafsi mno kiasi kwamba ukweli unaposemwa wanan'gaka utafikiri paka anashambuliwa na mbwa. Hollande anaweza akawa amekosea ktk matumizi ya lugha na ni wazi kabisa kuwa Hollande kama walivyo viongozi wengine wa mataifa yaliyoendelea ana interests zake, lakini content ya hotuba yake yuko sawa. Viongozi wa kiafrika wanasubiri wananchi wachome bunge na vurugu zingine ndio waondoke. Naelewa kwa ile hotuba ni lazima Serikali ya Rwanda ipige kelele maana Kagame pia ni mmoja wa walengwa. Na huko burundi Buyoya naye alilazimishwa kuondoka madarakani otherwise alitaka afie madarakani, kwahiyo hao wawili japo wanajifanya kutetea heshima ya waafrika lakini wanafanya hivyo wakiwa na ajenda binafsi. By the way mie nilijua Rwanda imejitoa ktk nchi zinazoongea kifaransa kumbe bado imo. Basi inawezekana baada muda watarudi kwenye matumizi rasmi ya kifaransa.
 
Kiongozi akiongoza vizuri wakati wa muhula wake kama kweli wananchi wanayaona hayo mazuri lazima katiba ibadilishwe aongezwe muhura siyo hayo ya ufanye vizuri au vibaya wakati ukifika uondoke,wananchi ndio wenye uamuzi kama wataamua pk kuendelea mimi sioni tatizo lolote...ahahahha hawa wafaransa pk amekua mwiba kwao wamejaribu njia zote za kumuondoa wameshindwa sasa eti wana support vurugu katika afrika ahahaha hilo walisahau mnyarwanda hawezi ingia katika upuuzi huo... wameisha elimika kisiasa wanajua kiongozi wamtakaye siyo hao wa ku import kutoka ulaya.
 
Back
Top Bottom