Rwanda yatuhumiwa 'kupika' takwimu za uchumi kwa manufaa ya kisiasa

Wakati ukikimbilia kuwashwawashwa na mambo ya ndani ya Rwanda tunaomba pia utuhakikishie kama hata nchi yako ya Tanzania nayo haipiki data zake katika mambo yake mbalimbali ya Kimaendeleo. Ukiachia mbali hao Wazungu ambao hawajaanza Chuki zao na Rais Kagame leo ila kwa wenye Akili tunatambua kuwa Rwanda ya sasa chini ya Kagame imepiga hatua nyingi ukilinganisha na ilivyokuwa japo nakiri kuwa bado kuna Changamoto kadhaa za Kidemokrasia na Kisiasa ila Rais Kagame amejitahidi na yapo Maendeleo kadhaa utayakuta nchini Rwanda ambayo ilichafuka Kimapigano ( Mauaji ya Halaiki ) zaidi ya mara mbili katika Historia ambayo huwezi kuyakuta nchini Tanzania ambako wanajinasibu kuwa ni Baba wa Amani Afrika kama siyo duniani. Halafu ni Upumbavu uliopitiliza kila mara Kuhusisha Mapungufu ya Rais JPM Kiuongozi na Kisiasa na Urafiki wake na Rais Paul Kagame wa Rwanda.

Kuna Watu mnajiita Wasomi lakini arguments zenu haziakisi hivyo na si ajabu ndiyo maana hata Elimu ya nchini mwenu ina Changamoto Kubwa kama siyo nyingi.
Shikamoo GENTAMYCINE aka kuu la mapopoma.
 
Watu wanaachaje kumhusisha na Kagame wakati kila anachofanya kinafanana? Kumbuka ziara yake ya kwanza alipoingia madarakani alienda wapi? Watanzania siyo wajinga, hatukuwahi kuwa na mambo ya kishenzi ya kutekana, kuua wapinzani, kunyamazisha vyombo vya habari mpaka alipoingia huyu mhutu.
Sijui yalilitoa wapi yaani.
 
Kwenye tawala zote duniani hata ukiwa wewe ni Rais leo unayolalamikia hapa yanafanyika nchi zote. Tofauti tu ni approach ya jinsi yanavyofanyika na inteligencia yake.

Sipingi hoja yako na pia uko sahihi kulalamika ila usiwaze kwa JPM tu waza hata tawala zingine na zingine utakuwa huru kuishi Maisha yako.
Acha ku justify upumbavu, ushezi na ushamba! Hakuna cha approach wala intelligencia. Sijasikia Norway wanapiga risasi wapinzani au waandishi wa habari wanapotezwa. Dunia imebadilika hii, tunajali haki za binadamu wenzetu kokote walipo. Barbarism, ukatili and other primitive acts mkafanyiane huko kwenye mapori ya Burigi Chato
 
Unajua ukimuona mwenzio yuko juu usizani alizaliwa hapo. Pengine unahitaji kujua kafika fikaje hapo juu.
Norway ina historia yake, Norway imapitia magumu kabla ya kufika hapo bora hata Tanzania.

Miaka ya 1985 hadi 1990 watu wa Norway walipitia magumu hujawa ona. Kasome huko kabla hujatukana watu wanaotakiwa kukuelimisha wewe.
 
Bro kazi unayo maana humu kuna watu naona wafanainisha Norway na Tanzania hahahahah kazi kwel wallah, kumuongoza binaadam kazi sn maana sijui wapi ambapo watu hawalalamiki kuhusu serikali zao.
Unajua ukimuona mwenzio yuko juu usizani alizaliwa hapo. Pengine unahitaji kujua kafika fikaje hapo juu.
Norway ina historia yake, Norway imapitia magumu kabla ya kufika hapo bora hata Tanzania.

Miaka ya 1985 hadi 1990 watu wa Norway walipitia magumu hujawa ona. Kasome huko kabla hujatukana watu wanaotakiwa kukuelimisha wewe.
 
Halafu unakwenda hospitali kugawa laki tano laki tano mbele ya makamera ya tv ili upate political mileage
Ninawadharau watu wote wanaopenda kuifananisha nchi ya Tanzania na Rwanda. Hiyo ni insubordination ya hali ya juu kwa Mtanzania yeyote. Hatupaswi hata siku moja kujifananisha wala kuiga yanayotokea Rwanda. Rwanda labda ijifananishe na mkoa Mwanza +Simiyu kiuchumi na kijiografia. Kwa upande wa siasa na demokrasia hakuna cha kujifunza. Hatuwezi kuiga sera za ukandamizaji wa haki za kiraia na udikteta za Kagame. Tuko mbali mno pamoja na kwamba Jiwe anakopi na kupaste staili ya utawala kutoka kwa PK.

Sisi tukitaka maendeleo tujaribu kujifananisha au kuwaiga Kenya na kwenye siasa na demokrasia tuangalie nchi ya South Africa au Botswana. Kujilinganisha na Rwanda ni KUJIDHARAU WENYEWE
 
Unajua ukimuona mwenzio yuko juu usizani alizaliwa hapo. Pengine unahitaji kujua kafika fikaje hapo juu.
Norway ina historia yake, Norway imapitia magumu kabla ya kufika hapo bora hata Tanzania.

Miaka ya 1985 hadi 1990 watu wa Norway walipitia magumu hujawa ona. Kasome huko kabla hujatukana watu wanaotakiwa kukuelimisha wewe.
Ni lazima tusulubiwe ndiyo mafanikio yenu yaje ?!. Kwani bila kufanya ushenzi , maendeleo hayaji ?!.

Maendeleo ni kuwa na mipango mizuri inayotekelezeka. Si kunyamazisha watu wasihoji chochote juu yako.
 
Ndugu yangu, Mengine tuyaache tu kuyajadili sana kwa sasabu kila mmoja anawaza lake. Nikupe wazo kidogo kwenye sehemu ambayo kunawapinzani usitegemee kufanya maendeleo kwa utulivu na unapokuwa unachokozwa lazima utakasilika na kukemea tabia yoyote chafu na inayopingana nawe kila unapotaka kutimiza ahadi ulioahidi wananchi.
Kama hujawahi kuwa kiongozi namba moja sehemu ya watu wengi huwezi nielewa hapa.

Wacha turudi kwenye family ambapo baba na mama hugombana wakati wameoana na kuwa kitukimoja hadi hutarakiana.
Je, ingekuwa vipi kama baba angepata mpinzani kwenye family? Angeweza kutawala? Angefanya maendeleo ya familia bila migongano?
Naishia hapo kwa sasa.

NB. Mataifa yaliyoendelea hayajawahi furahia kuona taifa jingine linaendelea. Waulize China, Iran n.k.
 
Haya unayonishauri si kweli !!. Nchi ilipokubali kufuata mfumo wa vyama vingi japo shingo upande. Na miiko yake tuifuate.

Ukirudi tu 2015 all most nusu ya wapiga kura hawakumchagua. Sasa ni vizuri kuwaongoza kwa hekima na kuvumilana. Nobody is perfect.

Back
Top Bottom