JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,389
- 9,664
Kwenye tawala zote duniani hata ukiwa wewe ni Rais leo unayolalamikia hapa yanafanyika nchi zote. Tofauti tu ni approach ya jinsi yanavyofanyika na inteligencia yake.Kuanzia kupiga watu marisasi kitu ambacho ni kigeni hapa kwetu Tz.
Na kuchakachua data.
Vyote anatoa kwa dikteta Kagame.
Na atabadilisha katiba ili aendelee kutawala milele.
Wapiga ranli wake wapo stand by.
Na alishasema pale eapoti kuwa watakaokuja wataweza?
Yani anajiona anajua wakati yeye ndio worse presidente kuliko wote.
Bodi ya mikopo tu anatunyonga then anajiona awatu wanafurahia?
Aisee.
Sipingi hoja yako na pia uko sahihi kulalamika ila usiwaze kwa JPM tu waza hata tawala zingine na zingine utakuwa huru kuishi Maisha yako.