Rwanda yaongoza kwa Watu wake kuishi Umri Mrefu kwa Nchi za Afrika Mashariki

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,356
8,049
1677653497871.png

Utafiti wa #UmojaWaMataifa (UN) na #BenkiYaDunia (WB), umeonesha maisha marefu yanategemea mambo 3 makuu: Maumbile, Jinsia, na Mtindo wa Maisha unaojumuisha Usafi, Chakula Bora na Mazoezi, Upatikanaji wa Huduma Bora za Afya, na Viwango vya Uhalifu.

Hadi kufikia mwaka 2023 umri wa Binadamu kuishi ni miaka 70 kwa #Wanaume na miaka 76 kwa #Wanawake sawa na wastani wa miaka 73.4 huku matarajio ya maisha yakitofautiana kulingana na eneo au Nchi. Kwa #Afrika umri wa chini ni miaka 57.7 na miaka 82 kwa #Ulaya.

Umri wa kuishi umeongezeka kutoka miaka 5.5 kati ya mwaka 2000 na 2016 hadi miaka 10.3 kwenye baadhi ya Nchi za Afrika. Sababu ni Kuboreshwa kwa kiwango cha Maisha ya Watoto wenye Miaka 0-5 na upatikanaji wa Matibabu ya kurefusha maisha kwa wenye #VVU na #UKIMWI.

DATA: UMOJA WA MATAIFA/ BENKI YA DUNIA
 
View attachment 2533425

Utafiti wa #UmojaWaMataifa (UN) na #BenkiYaDunia (WB), umeonesha maisha marefu yanategemea mambo 3 makuu: Maumbile, Jinsia, na Mtindo wa Maisha unaojumuisha Usafi, Chakula Bora na Mazoezi, Upatikanaji wa Huduma Bora za

DATA: UMOJA WA MATAIFA/ BENKI YA DUNIA
Rahisi sana kujua kwa nini wanaishi maisha marefu kuliko mosi ugumu wa maisha upatikanaji wa chakula ni shida hivyo hawana accumulation ya fat tukijua magonjwa yanayomaliza sana watu miaka ya karibuni ncd pili ni life style wanautamaduni wa usafi sio wa kuigiza km sie wanaumuganda day na pia wanasiku ya kutembea au kila mwezi mara Moja big up kwao tujifunze Mazuri maendeleo hayana chama
 
Mtume muhammad rehema na amani ziwe juu yake, alishasema haya miaka 1400 iliyopita.

Amesema "umri wa umati wangu ni kati ya miaka sitini na sabini"
Kwahiyo hakuna geni, ukiona imezidi hiyo basi jua ni bonasi tu
 
Kiasili Wanyarwanda sio wanene wengi wao. Hivyo matatizo ya afya ya uzito uliopitiliza hawana. Huku kwetu utakuta wauza samaki Gongo la Mboto wanaowachukua Feri wote wanene wale wamama. Sijui kwanini
 
Huku kwetu utakuta wauza samaki Gongo la Mboto wanaowachukua Feri wote wanene wale wamama. Sijui kwanini

Na wewe anzia hapo kufanya utafiti kujua sababu inayowafanya wawe wanene
 
View attachment 2533425

Utafiti wa #UmojaWaMataifa (UN) na #BenkiYaDunia (WB), umeonesha maisha marefu yanategemea mambo 3 makuu: Maumbile, Jinsia, na Mtindo wa Maisha unaojumuisha Usafi, Chakula Bora na Mazoezi, Upatikanaji wa Huduma Bora za Afya, na Viwango vya Uhalifu.

Hadi kufikia mwaka 2023 umri wa Binadamu kuishi ni miaka 70 kwa #Wanaume na miaka 76 kwa #Wanawake sawa na wastani wa miaka 73.4 huku matarajio ya maisha yakitofautiana kulingana na eneo au Nchi. Kwa #Afrika umri wa chini ni miaka 57.7 na miaka 82 kwa #Ulaya.

Umri wa kuishi umeongezeka kutoka miaka 5.5 kati ya mwaka 2000 na 2016 hadi miaka 10.3 kwenye baadhi ya Nchi za Afrika. Sababu ni Kuboreshwa kwa kiwango cha Maisha ya Watoto wenye Miaka 0-5 na upatikanaji wa Matibabu ya kurefusha maisha kwa wenye #VVU na #UKIMWI.

DATA: UMOJA WA MATAIFA/ BENKI YA DUNIA
Unajua maana yake? Hii ni reflection ya Infant Mortality Rate bwashee! Kwa kifupi ni kuwa tunaita life expectancy at birth. Hiyo vifo vya watoto wanaozaliwa Rwanda vimepungua sana
 
Mtume muhammad rehema na amani ziwe juu yake, alishasema haya miaka 1400 iliyopita.

Amesema "umri wa umati wangu ni kati ya miaka sitini na sabini"
Kwahiyo hakuna geni, ukiona imezidi hiyo basi jua ni bonasi tu
Lakini mtu anayeishi Ulaya leo anategemewa ataishi miaka 100. Kwa hiyo unasemaje? Japan huko life expectancy itafika 100 plus
 
Unajua maana yake? Hii ni reflection ya Infant Mortality Rate bwashee! Kwa kifupi ni kuwa tunaita life expectancy at birth. Hiyo vifo vya watoto wanaozaliwa Rwanda vimepungua sana
Kuna at birth na at nini?
Na tofauti yake ni ipi hasa katika kuzi-calculate?
 
Maana yake ni miaka ambayo mtoto aliyezaliwa leo hii atategemewa kuishi duniani kama hali ya vifo itabaki vile vile. eO
 
Maelezo mafupi ambayo yako clear ikikupendeza
Hiyo ni topic ya Population kama sikosei form 3 Geography. Infant mortality rate ni idadi ya vifo kugawanya kwa idadi ya vizazi hai mara 1000 kwa mwaka wa kwanza wa kuzaliwa.
IMR = (no. of deaths from live births ÷ no. of live births per population) × 1000 per year.

Mtoto akizaliwa amekufa haesabiki kwenye mortality rate, mtoto akivusha mwaka mmoja akifa ahesabiki. IMR hulenga kupima utoaji wa huduma za afya kwa watoto wakishazaliwa, akivuka mwaka mmoja probably huduma zilikuwa nzuri akifa baadae ni sababu nyingine isioambatana na huduma bora za uzazi.

OP kaleta vitu viwili tofauti, life expectancy kwenye aya ya kwanza na IMR kwenye aya ya pili akaichanganya
 
Mtume muhammad rehema na amani ziwe juu yake, alishasema haya miaka 1400 iliyopita.

Amesema "umri wa umati wangu ni kati ya miaka sitini na sabini"
Kwahiyo hakuna geni, ukiona imezidi hiyo basi jua ni bonasi tu
Kasema naye kasimuliwa.fungua agano la kale utapata yote.
Ukibisha basi kati ya muhamad na agano la kale nani wa kwanza
 
View attachment 2533425

Utafiti wa #UmojaWaMataifa (UN) na #BenkiYaDunia (WB), umeonesha maisha marefu yanategemea mambo 3 makuu: Maumbile, Jinsia, na Mtindo wa Maisha unaojumuisha Usafi, Chakula Bora na Mazoezi, Upatikanaji wa Huduma Bora za Afya, na Viwango vya Uhalifu.

Hadi kufikia mwaka 2023 umri wa Binadamu kuishi ni miaka 70 kwa #Wanaume na miaka 76 kwa #Wanawake sawa na wastani wa miaka 73.4 huku matarajio ya maisha yakitofautiana kulingana na eneo au Nchi. Kwa #Afrika umri wa chini ni miaka 57.7 na miaka 82 kwa #Ulaya.

Umri wa kuishi umeongezeka kutoka miaka 5.5 kati ya mwaka 2000 na 2016 hadi miaka 10.3 kwenye baadhi ya Nchi za Afrika. Sababu ni Kuboreshwa kwa kiwango cha Maisha ya Watoto wenye Miaka 0-5 na upatikanaji wa Matibabu ya kurefusha maisha kwa wenye #VVU na #UKIMWI.

DATA: UMOJA WA MATAIFA/ BENKI YA DUNIA
Nchi zote zimeonesha wanawake huishi maisha marefu kuliko wanaume.
 
Hiyo ni topic ya Population kama sikosei form 3 Geography. Infant mortality rate ni idadi ya vifo kugawanya kwa idadi ya vizazi hai mara 1000 kwa mwaka wa kwanza wa kuzaliwa.
IMR = (no. of deaths from live births ÷ no. of live births per population) × 1000 per year.

Mtoto akizaliwa amekufa haesabiki kwenye mortality rate, mtoto akivusha mwaka mmoja akifa ahesabiki. IMR hulenga kupima utoaji wa huduma za afya kwa watoto wakishazaliwa, akivuka mwaka mmoja probably huduma zilikuwa nzuri akifa baadae ni sababu nyingine isioambatana na huduma bora za uzazi.

OP kaleta vitu viwili tofauti, life expectancy kwenye aya ya kwanza na IMR kwenye aya ya pili akaichanganya
Ulieleza vizuri sana ila ukashindwa life expectancy at birth! Hiyo ni lifetable bwashee! Ni kitu kile kile
 
Back
Top Bottom