Rwanda yaondoa VAT kustimulate viwanda

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,023
9,285
IMG-20161220-WA0030.jpg
 
Wanyarwanda wanajua kuwa Ili ng'ombe umkamue vizuri huko mbeleni ni lazima umlishe vyema kwanza!
Siyo unakamua weeeeeee, unakamua weeee, mpaka anakondeana, mwishowe hata tone utakuwa hupati!

Waziri mpango hana budi kujifunza kutoka kwa wanyarwanda!
 
Jee makubaliano EACommon Tariff yanasemaje?
VAT haipo kwenye EA Common External Tarriff (CET). CET sana sana ni kodi ya forodha ambayo hutozwa kwa bidhaa zinazoingia kutoka nje ya EAC. Bidhaa hizi hutozwa kodi sawa kwenye nchi zote za EA. Lakini VAT kila nchi mwanachama inaruhusiwa kujiamulia kiwango chake...ndio maana VAT Tanzania ni 18% na Kenya ni 16%
 
kuongoza nchi ni kama mchezo wa draft,kama unataka kushinda inabidi uweze kufikiria moves zaidi ya nne mbele kabla ya kucheza, kisha uamue ama serikali iwe tajiri au wananchi wawe matajiri,na uelewe nchi sio serikali nchi ni wananchi
 
Tz mnatoza VAT mpaka kwenye transit goods na tourism services; matokeo yake kusinyaa kwa bandari na utalii!!!
 
Mie nashukuru Mungu sana raisi wetu ameteua wasomi kwenye serikali yake ili watanzania tuache huu upuuzi wa kuthamini wanasiasa wasomi.......wengi wanadharirisha tu taaluma zao. Inabidi tuwajali wasomi ambao wapo kwenye fani zao na wanatoa mchango kwa taifa kutokana na usomi wao. Wasomi wetu wengi ambao wapo kwenye siasa ni wezi na ndio wanafiki wakubwa wametufikisha hapa.
 
Ni Rais wa nchi yake na ameona kuondoa VAT ni njia itakayosaidia kuboost biashara za ndani, ana haki ya kufanya hivyo.
Kila nchi ina namna yake ya kujiendesha kwa maslahi yake yenyewe.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom