Rwanda yanunua ndege nyingine mpya aina ya Airbus 330 - 300

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
51be33fc10c6bf9960d8541b729e9e65.jpg
Ndege nyingine mpya aina ya Airbus 330 - 300 imewasili leo nchini Rwanda hii ikiwa ni sehemu ya Shirika la Ndege nchini humo RwandAir kuingia soko la usafiri wa anga la Marekani na Ulaya

John Mirenge, Mkurugenzi wa Shirika la RwandAir amesema Kampuni ya Airbus imekabidhi Rwanda ndege hiyo mjini Toulouse, Ufaransa

Ndege hiyo hadi sasa ndio kubwa zaidi ya Rwanda na ya tatu mpya ambayo imenunuliwa ndani ya miezi mitatu

Ina uwezo wa kubeba abiria 274..
 
Heri yao,sisi bado tunafanya uhakiki kwanza,kisha tunatumbua majipu kwanza
 
Hao watakuwa wanashindana na Ethiopian Airlines karibuni kutokana na kununuliwa na Qatar Airways.
 
Back
Top Bottom