Rwanda wana assemble simu na Magari, hapa Tanzania tumekosea wapi?

Huku ndio ku advance si vinginevyo maana siasa hatusaidii chochote tunahitaji vitu kama hivi
Si Tanzania ni Tajiri inakila kitu! Madini, mbuga, bandari,wananchi wengi! Basi nchi nitajiri inatosha.

RWASAT1:Satellite ya pili inarushwa next month hiyo hapo.
Kazi yake ni ku gather informations na kuzituma.


A satellite built by three Rwandan engineers and a team of Japanese at Tokyo University, Japan will be launched into orbit next month.


According to Takayoshi Fukuyo, one of the developers, the HTV-8 "Koutonori 8", a cargo ship which stores RWASAT-1 was captured by the robotic arm of the International Space Station on September 28.

RWASAT-1 is a mini satellite, commonly as CubeSats. These are tiny satellites that are deployed into low earth orbit from where they can send information to ground stations.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom