Rwanda wamejishtaki wenyewe ICC kwa kifo cha Kizito

Bado yule mama anaitwa Victoire Ingabire,nadhani ni next target ingawa dunia itampigia kelele sana ila ndo hivyo tena,na hii atasubiri hii inshu ya Kizito ipoe na atahakikisha inafanyika baada ya mkutano wa jumuiya ya madola huko Kigali.
Namna walivyokaa naye behind bars sidhani kama bado ana uhai
 
Kizito Mihigo umri 38 r.i.p
kagame wahutu umemaliza sasa zamu ya watusi wenzio. Mwl alisema dhambi ya ubaguzi haiishi kesho utamuua Janet
 
Mtoa mada mpaka unaandika huu uzi wako na hako katecno kako tena kwa raha kabisa na hujui lolote la kiusalama ht linaliendelea sasa hivi kuhakikisha wewe na familia yako mpo salama kila nyanja na wala huwezikiri kwanini nchi yako inaamani utaandika upuzi sana na kutetea hao wajinga wachache wanaojiita wanaharakati jua kabisa hiyo amani yako kunawatu wapo makini wameisimamia kabla hata ujazaliwa na ipo mpaka sasa na hawataakubali kabisa kuipoteza kirahisi sasa unazani watafanywa nini hao wasaliti wenye migongo ya uharakati nyuma yao maana hata mbele za Mungu,Mungu alimtoa mwanawe wa peke ili aje aokoe watu wake walio wengi sasa iweje kwa hawa wachache wanaovuruga amani endelea kusubiri matokeo ya Icc yanayohukumu hukumu za waafrica tu
takataka, rubbish
 
Ukisoma jinsi mauaji haya ya Legend huyu yalivyokuwa conducted
na ukisoma stories za mkuu The bold na kile kitabu Behind the president curtain Ndio utajua kuwa hakuna mrwanda hata mmoja alie salama. Aidha akiwa ndani ya Rwanda ama nchi yoyote ya Afrika
 
hako katecno

Hivi ku tuma bandiko JF kumbe inabidi utumie simu bei mbaya sana. Wewe unatumia ipi ?

Hata hivyo ni faraja kuona mpo humu na lugha mnaijua vizuri. Inaelekea ni mmoja wa wageni tuliopata nafasi ya kuwahifadhi wakati huko kwenu amani ilitoweka.
 
List ya madikteta waliodumu siku zote na mwisho wao ukawa fresh tu.

Fidel Castro-Cuba

Lee kuan yew-Singapore

Albert Renee-Seychelles

Deng Xiaoping-China


Francisco Franco-Spain

Na wengine kibao.
Umemsahau Dikteta wa Gambia Yahya Jahmee alipokuwa anaondoka alipitia benki kwanza.
 
Umemsahau Dikteta wa Gambia Yahya Jahmee alipokuwa anaondoka alipitia benki kwanza.

Na hata Rais aliyechukua madaraka sasa huko Gambia Adam Barrow yuko anakamata na kuua wananchi,waandishi wa habari etc wanaosema aachie madaraka kama vile alvyoahidi kua baada ya miaka 3 ataachia madaraka.

Madikteta oyeeee
 
Back
Top Bottom