#COVID19 Rwanda: Waliopata chanjo wataruhusiwa kukukusanyika kwenye sherehe

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,008
9,873
Rwanda imelegeza masharti waliyoweka katika kudhibiti maambukizi ya #COVID19. Baa zitafunguliwa na mikusanyiko itaruhusiwa

Watakaoruhusiwa kuwepo kwenye mikusanyiko kama sherehe na maonesho ni watu waliopata chanjo pekee. Hatua hizo zitaanza kutekelezwa Septemba 23

Hatua hiyo imefikiwa baada ya Rwanda kuwa na idadi ndogo ya maambukizi kuanzia mwezi Agosti
==
Rwanda has eased Covid-19 restrictions allowing bars to reopen for the first time since March last year after a significant drop in new infections.
The country has also accelerated Covid-19 inoculations.

The new guidelines were issued on Wednesday after a cabinet meeting presided over by President Paul Kagame.

Rwanda will also now allow public gatherings, concerts, festivals and exhibitions to continue but only vaccinated and tested people will be allowed to attend.
The curfew has also been adjusted from 10pm-4am to 11pm-4am, allowing businesses to remain open until 10pm in Kigali.

The new measures will come into effect on September 23 until October 13.
Rwanda has seen a drop in Covid-19 infections since late August. The infection rate has not exceeded 5 percent for the last three weeks.
 
Hivi hawa wanyarwanda & waganda wana mpango gani kuhusu mipaka yao ya ardhini,ina maana hawataifungua kabisa
 
Back
Top Bottom