Rwanda Vs Uganda nani atashinda Vita?

Point yako mimi sijaiona kwakua rwanda alimsaidia m7 ktk hustle zake za muimomboa uganda lakini kumbuka pia m7 alimsaidia sana kagame kumuondoa havyarimana hivyo tuseme wote wanajuana battle lao mshindi atatokana na ninani mwenye washirika wengi ambaye kwa haraka haraka hata tukichukua majirani wanaozizunguka nchi hizo Uganda ana marafiki na uungwaji mkono wa nchi nyingi mf . DRC. TZ . Burund. n.k hao hawawezi msaidia kagame

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unasema M7 alimsaidia PK sio? Hebu nitajie waganda 10 tu waliokufa Wkt wakimsaidia PK kuchukua nchi na Mimi nikutajie maelfu ya wanarwanda waliokufa wakimsaidia M7 kuingia madarakani.
 
Rwanda aliipiga mara 3 Uganda kwny kisangani war,maelfu ya wanajeshi wa Uganda waliuwawa na mageneral wa jeshi la Uganda walitekwa wakapelekwa Rwanda baadae wakapandishwa ndege from Kanombe to Kampala kwa aibu Sana,Kagame alishakua CMI(Chief of Military Intelligence) wa Jeshi la Uganda anawafahamu Uganda nje ndani yaani kifupi wanajeshi wengi walioko kwny jeshi la Rwanda RDF(Seniors) walilitumikia jeshi la Uganda tangu likiwa Msituni wakiwa waasi wakiitwa NRA mpk Sasa wanaitwa UPDF kwa hio wanalijua nje ndani.

Mwisho wa siku Hawa hawatapigana,watafanyiana vitimbi vya kuchokonoana kiinteligensia then ndo basi tena.
Mbinu za kijeshi hubadilika, miaka ile kagame akiwa CMI nchini uganda na sasa ni sawa na kulinganisha mbinu za kupigana utotoni na ukubwani
 
Mbinu za kijeshi hubadilika, miaka ile kagame akiwa CMI nchini uganda na sasa ni sawa na kulinganisha mbinu za kupigana utotoni na ukubwani
Rwanda hawezi shinda vita yeyote itayopigwana ndani ya ardhi yake na majirani zake labda burundi.
 
tatizo la Kagame ni wananch wake. mpaka leo hawako pamoja hvyo ikitokea vita ikaiva kama ile ya Ethiopia wananch watagawanyika asubuh. mpaka leo Mhutu anahc ni mtumwa nchin kwake. kingine jamaa wale makamanda weng alioingia nao madarakan wamekimbia nch au wameuwawa.
 
tatizo la Kagame ni wananch wake. mpaka leo hawako pamoja hvyo ikitokea vita ikaiva kama ile ya Ethiopia wananch watagawanyika asubuh. mpaka leo Mhutu anahc ni mtumwa nchin kwake. kingine jamaa wale makamanda weng alioingia nao madarakan wamekimbia nch au wameuwawa.
😄😄 Makamanda wengi wapi hao unawasemea?
 
Mbinu za kijeshi hubadilika, miaka ile kagame akiwa CMI nchini uganda na sasa ni sawa na kulinganisha mbinu za kupigana utotoni na ukubwani
Kuna mdau nilimjibu kule juu hivi.
"
Jua hivi Kampala ilikamatwa na 1st, 7th, 11th, 13th, 19th, and 35th battalions ambazo hizo zote zilikua chini ya wanyarwanda, Sasa hapo sijui location ya Kampala itakua imebadilika?BTW Kampala ilikamatwa na hao wkt M7 akiwa zake Sweden ilikokua familia yake.

Wanyarwanda kwny jeshi la Uganda wameondoka officially 1995,baada ya hapo Hali ikawa tete huko Entebbe, Jinja na Kampala ikabidi M7 awaombe wanajeshi wa Rwanda(RPA) warudi kumsaidia kutuliza Hali,ikabidi vikosi vitumwe chini ya Maj. Alex Kagame(usimchanganye na Paul Kagame) akiwa na kikosi cha artillery na anti-aircraft wakapigana na kuikamata Entebbe airport,eneo lenye rada la Nsamizi,Owen Falls Dam, Kule Lugazi kwny Viwanda vya sukari etc wakashikilia hayo maeneo kwa miezi 12 Hali ilipotulia wakayakabidhi kwa serikali ya Uganda."

Sasa na wewe mkuu uniambie hapo kilichobadilika Ni Nini mpk Sasa khs Uganda, Commanding Post au?
 
Vikitokea vita kati ya Rwanda na Uganda nani atashinda?

Wameanza kuparuana tena hawa wezi wa Madini ya Congo

Nahisi hawa mwisho wao utakuja kuwa kwenye hizi battle

Kati ya Uganda na Rwanda nani atashinda vita?

Nasema hivi kwasababu msitumie kigezo cha Rwanda ni ndogo! Rwanda sio ndogo kiidadi ina watu milioni 12!

Watu milioni 12 sio kidogo ni wengi sana


Na hata battle na Rwanda na tz lingetokea hata possiblity ya kutandikwa na Rwanda ingekuwepo tu nchi ikishakua na watu milioni 10 na kuendelea wakijiandaa vizuri wana uwezo wa kuzichapa na nchi yenye watu milion 120

Turudi kwenye mada Rwanda Vs Uganda nani atashinda vita?
Itategemea nani amepandikiza wapelelezi kwa maana ya majasusi wengi kwa mwenzake. Na bila shaka ni KGM. Labda Musaba asaidiwe na wasaliti wa ndani ya Rw ambao ni mahasimu wa KGM. Na hapo anaweza akajitahidi kuwagawa Wht na Wts ili apate ufa. Na hapo ndio tunakuja kupata umuhimu wa kuwa na umoja wa kitaifa.
 
Itategemea nani amepandikiza wapelelezi kwa maana ya majasusi wengi kwa mwenzake. Na bila shaka ni KGM. Labda Musaba asaidiwe na wasaliti wa ndani ya Rw ambao ni mahasimu wa KGM. Na hapo anaweza akajitahidi kuwagawa Wht na Wts ili apate ufa. Na hapo ndio tunakuja kupata umuhimu wa kuwa na umoja wa kitaifa.
Kwani M7 nchini kwake anapendwa na wananchi?
 
Rwanda ampige tz mweee Jf vtuko haviishagi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi huaga nachekaga sana kuhusu hi, eti Rwanda kumpiga Tanzania; enzi za JK mwishoni pale tulipeleka majeshi kwenda kuwatandika M23, in fact ile ilikua vita ya Tanzania na Rwanda, M23 walipigwa na JWTZ iliingia hadi viwanja vya huko huko Kigali na kimbau mbau akaomba poo; sema Magufuli alivyoingia sijui alikua na ukaribu sana na Kagame, akalegeza.

Halafu ni ndoto Uganda ya M7 kupigana na Rwanda ya PK, labda mmoja wapo awe hayupo madarakani
 
Kagame ni mwanafunzi wa Mseven hawezi shindana na mwalimu wake Rwanda wanajisifia sana kiuhalisia mseven ndio anaeongoza vyombo vingi vya usalama vya Rwanda na maafisa wengi wa usalama wakitibuana na kagame wanaenda kuomba hifadhi uganda au africa kusini na bado wanakua na mawasiliano na watu wa mseven ndio chanzo cha mgogoro huu mseven hatari sana yule wewe kuitawala uganda miaka thelesin na huwezi sikia kunanjama za kumpindua wala nn na kala siku anafanya mabadiliko ya jeshi.
 
Back
Top Bottom